Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Sipendi lakini inanitokea yaani akipita mdada namuangalia mara najistukia kisha najilaani sana mara nyingine nipo karibu na watu wangu wa karibu au waheshima .
Ingawa moyoni sina wazo lolote na si muendekezaji ila mimacho ina ni let down,siku moja nilijikuta mtu wa karibu kanishika kichwa kanigeuza upande mwingine.
Tulikua kwenye gari nikazuga nilikua naangalia uzuri wa maeneo ya Kimara zile pub za barabarani. Nikapoteza amani na furaha.