Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi ni kweli kuwa mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi kumbikiri. Hata kama mwanamke huyo atakuja kuolewa na mwanamume mwingine hapo baadaye.
0 Reactions
208 Replies
40K Views
Adulterous Affairs Don't Begin with Sleeping Together; they begin with inappropriate friendships. Friendship and emotional attachments with people of the opposite sex can spell danger for your...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naitwa fikiri niko Dodoma,24yrs natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Najua kumridhisha vyema mwanamke. Sifa, hata kama umezaa,au una umri kunizidi. Au hata kama hauko vizuri kiuchumi wala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeamua kuwakumbuka wale wote ambao usiku wa leo hawata kuwa karibu kwa sababu moja ama nyingine, walio toka ku break up recently pia si mbaya kushare this song na mwenzio ambaye yupo mbali...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sijui kwanini tu. Tangu nitoke kijijini kuwasalimia babu zangu, sijui imekuwa wanawake wananipenda ajabu, wengine wanadiriki kunianza kabisa kutaka niwe nao. Isitoshe wengine wanamjua kabisa...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Hayati Shabani Robert aliwahi andika "Msiba na nyemi" akimaanisha panapo msiba si simanzi na majonzi pekee hutawala bali hata furaha na vicheko huwepo. Leo ni siku Maalum kwa wapendanao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumain hamjambo wana MMU. Ila mi nina moja tu naomba mnelekeze jinsi navyoweza kusoma message alizotumiwa mchumba wangu na mtu yoyote kwa kutumia simu yangu. Msaada please.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa mwanamke aliye tayari tuwasiliane, umri uwe 27-32, uwe unaishi Dar es salaam au morogoro, Ukiwa mweusi mnene itakuwa poa zaidi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama vile natania lakini ndiyo ukweli huu,juzi kati niletewa kadi ya mwariko na gelofrend wangu kuwa mama yake mama mkwe anaolewa mwezi wa tatu. Back ground my girl riandf ni first bon kwa mama...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Yaani mimi Natalia Guitar nikiweza nitamwimbia mume wangu " what about love " uliimbwa na heart,wanangu wanapelekwa kwa bibi yao. Nyumba nzima ni mimi na mume wangu jinsi ninavyompenda mpaka...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hakuna jipya kama unampenda utamlinda na kumjali siku zote na sio valentine day tu. Ni unafki tu asilimia kubwa ni siku ya michepuko tu. Na ingeitwa michepuko day ingependeza zaidi.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nawependa nyote asanten.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Hi, wana MMU. Ni wiki ya mapenzi na wapendanao,nimekutana mahali na habari ya vyakula, wanasemaa vinaamsha hisia,sijafanya utafiti lakini, kama na wewe wajua baadhi, tusinyimane mambo, tushee...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Nilikuwa nikijiuliza namna ya serikali itakavyoweza kukabiliana uzinzi a.k.a kuchepuka kwa kutoa vitambulisho maalum kwa wana ndoa na viwe na picha zao wote yaani mume na mke. Na kila gesti...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nina miaka 32 male,nimeajiriwa,rangi-maji ya kunde,mrefu kiasi 156cm,elimu ya chuo kikuu,mwenyeji wa Simiyu na ni mkristo. Natafuta mke mwema,mkristo wa kweli,mrefu,mweupe au chocolate colour...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimekaa sehemu leo napata lunch, mara dada mmoja mrembo aliyekuwa karibu yangu "kareact", "mameseji kibao halafu marefu, hayaeleweki. Unanijazia tu inbox, utakuwa masikini tu wewe halafu...
2 Reactions
68 Replies
10K Views
Salamu kwenu wa MMU.Nimewamiss naamini kuwa wote mko pouwa. Kuelekea kwenye sikukuu ile ya valentine yaani siku ya wapendanao napenda kuwambia kuwa ninawapenda sana. Pili kuwakumbusha kuwa na...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Yeah kinachonisukuma kuandika ni hii hali ya wapenzi kulipiza kwa kila jambo wakati mwingine bila kutafakari kwa kina. Kwamfano kama mwanamume amechelewa kurudi mdada nae anajichelewesha...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimeamini kweli mapenzi yanaua kabisa,watu wameuana kwa sumu,risasi,visu,mishale,mikuki,na kila aina ya silaha kisa mapenzi,ukitaka kumharibia mtu siku yake basi mguse kwenye mapenzi. Nachoandika...
5 Reactions
181 Replies
17K Views
Also ni member hapa jf hapatikani tangu february tar 09,tumuombee arudi salama maana nimeona taarifa BBC kwa kweli macho yamenitoka pima. najiskia vibaya sana jamani hii dunia si sehemu salama ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…