Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Napenda niwe karibu kimawasiliano sana na mwanamke, umri 18-25. Sijali elimu kikubwa awe mwenye heshima.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unataka ndoa yako idumu, basi mtu unaekutana naye maeneo haya usioe/kuolewa naye; -Baa. -Club. -Chuoni. -Mnadani. Mengine ongezea. Oa/olewa na mtu uliyekutana naye...
0 Reactions
154 Replies
24K Views
MWANAMKE MPUMBAVU 1.Anamkomoa mmewe. 2.Analala mapema kabla ya mmewe. 3.Anachelewa kuamka kabla mmewe. 4.Mbishi,anahisi kuonewa mda wote. 5.Anadhani kumnyima mmewe unyumba ni kumkomoa...
11 Reactions
48 Replies
9K Views
Najua mambo ya imani ni sensitive na hapa siongelei wale ambao ki ukweli ni wacha mungu. Kuna watu matendo yao na maisha yao ya kila siku yanaonyesha ucha mungu bila kujali dini zao,lakini hata...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Navosema bwana wa ukweli ni yule bwana ambae anakujambishaaa. Anakupa mshawashaaa...
14 Reactions
213 Replies
20K Views
Rafiki yangu ana mpenzi wake ameshamtambulisha kwa wazazi na kumvisha pete, changamoto aliyonayo ni kwamba mchumba wake ana mdogo wake wa kike ambaye imejulikana anatoka kimapenzi na mdogo wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Yaani sipendi kuona mwanamke kwenye vazi la suruali huwa hanivutii kabisa! Na hasa siwezi kabisa kuongozana na mwanamke aliyevaa suruali. Kwa bahati nzuri wapenzi wangu wote niliowahi kuwa nao si...
6 Reactions
55 Replies
7K Views
Kaka yangu mtoto wa mama mkubwa,alioa mke ambae alizaa watoto 2 na mwanaume mwingine. Yeye hajazaa nae hadi leo na ni mwaka wa 3 tangu waanze kuishi pamoja. Huyo shemeji watoto wake aliwaacha kwa...
4 Reactions
77 Replies
18K Views
habari zenu wana jukwaa..! ni imani yangu kuwa mu-wazima wa afya kabisa! leo nimekuja kwenu tujadiliane hivi vitu vichache juu ya matumizi ya sahihi ya condom, naweza nisiwe sahihi, ndio maana...
6 Reactions
87 Replies
16K Views
Asikudanganye mtu,usidanganyane na nakupenda kutoka moyoni mapenzi ni pesa bwana,mpaenzi ni sawa na biashara siku hizi,huna mtaji wa kutosha. unafunga biashara unasepa zako kijijini kushangaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari usiku wana MMU. Kuna binti mmoja hapa chuoni kwetu nimetokea kumpenda najaribu kumsogeza karibu kwa njia ya mawasiliano. Watsaap anajibu tena kwa kifupi lakini nikimpigia hapokei kabisa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna mshua mmoja ameoa na ana watoto kama wanne hivi. Yeye na mke wake wanafanya kazi taasisi moja, na tena wako ofisi moja, na wanafanya kazi moja. Hii couple wamejaliwa, pesa kwao siyo tatizo...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wadau. Nimeiona kauli mbiu ya maadhimisho ya Valentine's day 2015,"mapenzi pesa maua mpelekee nyuki atengenezee asali ,kadi peleka kliniki" Je wewe unaizungumziaje hii kauli mbiu ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimefanya utafiti kuhusu wanaume wanaofanya mahusiano na wanawake tofauti hadi wanapofikia hatua ya ndoa, nikagundua kuwa wanawake wote wanaopitiwa na mwanaume huyo. Wanakuwa ni wana mvuto mkubwa...
2 Reactions
92 Replies
20K Views
Eti utakuta baba mzima baba mwenye nyumba ila amri na sheria zote nyumbani anapanga mama, ndugu akija kusalimia nauli ya kurudi anaomba kwa mke pesa yote ya mshahara kaisarenda kwa mama. Yeye...
3 Reactions
53 Replies
10K Views
Hakuna asiyejua kuwa mapenzi ndio yana run dunia,Hakuna asiyejua utamu wa mapenzi kutoka kwa yule umpendae kwa dhati kutoka moyoni. Hakuna asiye jua jinsi gani ilivyo raha kupendwa ,kujaliwa na...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Awali ya yote, niwatakie 14 Feb njema wana Jamii forums. Huitaji kamusi yoyote ile kujua maana ya dhana nzima ya urafiki, na washiriki wake-marafiki.Urafiki hujengwa kwa njia nyingi sana, msingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ni kweli kuwa mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi kumbikiri. Hata kama mwanamke huyo atakuja kuolewa na mwanamume mwingine hapo baadaye.
0 Reactions
208 Replies
40K Views
Adulterous Affairs Don't Begin with Sleeping Together; they begin with inappropriate friendships. Friendship and emotional attachments with people of the opposite sex can spell danger for your...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naitwa fikiri niko Dodoma,24yrs natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Najua kumridhisha vyema mwanamke. Sifa, hata kama umezaa,au una umri kunizidi. Au hata kama hauko vizuri kiuchumi wala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…