Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Anaahadi nyingi hazitekelezeki muongo. 2. Msiri hapendi kuweka mambo yake wazi. 3. Anakutafuta akiwa na pesa kwaajili ya starehe, akiwa hana hakutafuti kabisa. 4. Hajali matatizo yako. 5...
6 Reactions
40 Replies
47K Views
Hatupaswi kudharau nguvu za wake zetu, wanatujua na kutufahamu vilivyo, ukiringia nguvu uwezo umaarufu na akili zako itakula kwako. Ukijifanya mjuaji katika hayo yeye atakaa kimya ila akisusa...
10 Reactions
65 Replies
7K Views
Wasichana wengine wana lawama wakisikia boyfriend wake amemcheat atapiga kelele atamsuta."Umekosa nini mwanaume huridhiki,utamaliza nyama bucha ileile kwani mi sikupi si nakuuliza wewe hasidi...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Salaam ndugu zangu wana MMU. Nimekuja hapa mbele yenu ili mnipe ushauri nipo kwenye hali ya sintofahamu maji yamezidi unga ugali naona unaenda kuwa mabuja.Hii inatokana na jana kumweleza mama...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Ijumaa iliyopita rafiki yangu mmoja alikuwa ameishaingia chumbani kulala. Kabla usingizi haujamchukua mkewe akaingia chumbani humokutoka bafuni alikokuwa akioga. Mara tu baadaya kuingia akatupa...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili. Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
kuna haka katabia ka kusema kuwa nimemfumania baba fulani, mara ooh nimemfumania fulani na binti wa fulani.Ukweli ni kwamba mwanaume hafumanwi ila anakutwa. Hii inamaanisha kuwa mwanaume ndio...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika mapenzi (romantic) Inatokea mtu kumpenda mtu mwengine katika mazingira ya utata na bila ya kutegemewa. Sometimes inatokea mtu anakupenda but wewe uliependwa unaanza kujiuliza maswali...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wakuu, kila mwanaume na mwanamke wana experience tofauti na kuridhishwa tofauti. Je wewe unapendelea kufanya mapenzi yapi hasa katika hii list? 1. Quickie (Wale wa dakika chache au kuibia)...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
I'm not "handsome" but i can give my "hand" to"some" one who needs help. Beauty is in heart, not In face.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu ni masters nimeajiliwa serikalini sina mtoto. Nahitaji mume kuanzia miaka 28 - 35. Awe mkristo mwenyehofu na mungu, kabila lolote, rangi yoyote, elimu kuanzia...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Najua sasa una umri 22-25 sasa. Sijali kabila njoo PM. Tuongee zaidi tupange uwe mama wa watoto wangu.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna wanaume huwa wanakera sana,Unakuta ni mshikaji wako afu anajipendekeza kwa demu mpaka wanakuwa marafiki. Kibaya anakuja kukuambia-mwanangu nimepiga pale.Ukichunguza kumbe ni kamba tuu na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana MMU. Tafadhali isikilize hiyo Audio Clip utajifunza mengi ni ya dakika kama moja hivi lakini ina mafunzo sana.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu. jana mdada kakuta picha (picha zinazotoka whatsapp na kubaki katika simu) ya uume halisi tena imepigwa huyo jamaa akiwa amelala chali nauume umesimama, umepigwa uume tu, na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
MUME: Darling nina kikao mkoani kesho naomba niandalie vitu please. MKE: Dada zile nguo za baba pamoja na soksi ulifua. DADA:Ndio nimepanga kabatini. mama anarudi chumbani na kumuomba hubby...
9 Reactions
32 Replies
5K Views
TUNDA LA AJABU. Nimetulia mtini, nala tunda liso kokwa. Laini shinda maini, ladha kuku wa kupakwa. Chumvi nitake ya nini, nala bivu si kidakwa. Naulinda mti wangu, unatunda la ajabu...
5 Reactions
35 Replies
15K Views
Ninampenzi wangu tunapendana lakini tatizo lake anahisia kali sana pale anapogusana na mtu hasa mwanaume atawakisalimiana kwa kushikana mikono mwili wake unasisimuka sana. Mfano kama nikitaka kudu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Jamani kuna jamaa yangu alikuja kuomba ushauri yeye alioa akaishi na mke wake mwaka mmoja,baadae mke wake akaanza tabia za ajabu ajabu jamaa baada ya kulalamika kwa wazai wa mwanamke mambo anayo...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Jamani hivi nini kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya mwanamke mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua wanawake tunakosea wapi. Maoni yenu tafadhali.
3 Reactions
101 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…