Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake wenye vidole vyenye sugu tahadhari kwenu.Hii ni baada ya mashine za BRV kukataa vidole vyenye sugu katika zoezi la uandikishaji katika daftari la wapiga kura. Mwanamke kuwa na masugu...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Mfano; 1.Kuoga wote. 2.Kumpa mtu hela ya kununua wigi. 3.Kuchat mda mwingi. 4.Kunyonya sehemu za siri. 5.Kulishana. 6.kufanya mambo mengi kisha kuachana.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sina maneno mengi. Umri: 21-24. Kabila: lolote. Kimo: mref kiasi si sanaa. Status: anayesubiri Ajira. Contact: 0653325710 or 0689744743
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa Joyce Kiria. Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana nawashwa sana sehemu za siri (ukeni). Nilienda baadhi ya hospitali wanasema ni...
0 Reactions
110 Replies
26K Views
Natafuta mchumba ambaye hana uzazi na ambaye atakuwa tayari tufunge ndoa baada ya kufahamiana,nipo Kanda ya Ziwa kikazi,Umri miaka 30,elimu yangu ni chuo kipato cha wastani. Napenda awe na umri...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimekuwa mhanga wa kupenda sana, lakini ndio naishia kutendwa naombeni ushauri nifanyeje nisipende sana.Naombeni ushauri wakuu.
0 Reactions
186 Replies
19K Views
Ili ni jina nlilopenda kumuita kwa utani mpenzi wangu huyu wa zamani ambaye amenifanya nisiweze kupenda tena mpaka sasa ni Mzee Wa hit n run. Wiki iliyopita nmekutana nae baada ya miaka 4 ya...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Mnakumbuka sakata la yule mama aliyesusiwa mapacha sita na mumewe. mwanamke aliachiwa watoto sita kwa madai kuwa anazaa sana. Bila shaka alipitia kipindi kigumu sana hadi hapo alipofikia leo,leo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Niaje niaje humu ndani. Kuna mtoto najaribu kumuweka sawa hapa kwa message yani sound linamuingia mpaka raha, maana anaelewa mno, face to face inakuwa ngumu kidogo si rahisi kudanganya lakini...
2 Reactions
112 Replies
66K Views
Habari za saa hizi. Communication is an art and a skill. Hiki kitu unaweza kujifunza through experience,kupitia kwenye malezi au ukawa natural born an excellent communicator.So tuangalie vitu...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni bora ukutwe na pakiti hata kumi za kondom amabazo hazijafunguliwa kuliko mkeo/mumeo kukukuta na kondom moja ama mbili zilizobaki (chenji). Hii ni kwa sababu chenji maelezo yake hayahitaji...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanawake wengi hawajui wanaume wanapenda nini.Kutokana na kutokufahamu waume zao au wapenzi wao wanapendelea kitu gani wanawake huishia kujaribu jaribu kila kitu na kuhoji utasikia nimependeza,ama...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Many twins are known to be inseparable and usually share an unbreakable bond. However, two South African twin sisters loved each other so much, that even marriage couldn't separate them. They...
0 Reactions
79 Replies
12K Views
Hi guys,hope you had a super fine day & sorry the days hustle & basal. Its hard to find true love a thing i've been offering without a shadow of doubt only to be hurt in return.I now believe in...
8 Reactions
117 Replies
10K Views
NINI UTAFANYA? mke alimuaga mumewe anaenda kumsalimia mama yake mgonjwa kijijini. Akaondoka Ijumaa na kurudi Jumatatu na matunda kibao na vyakula vingine toka kijijini akisema ni mama kanipa kwa...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu, na...
8 Reactions
94 Replies
12K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! Mtambuzi thank you so much for the 5 star black forest strawberry cake! Aaaaaaaw! It was so yummy! I cant thank you...
41 Reactions
125 Replies
16K Views
Wakuu my love na mimi now tuna mtoto ila cha kushangaza alinificha kwa miaka 3 pindi nipo chuo then ndio akaniambia my kid resembles alot. Ila sijaelewa mantiki yake na why hakunishirikisha all...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari kwenu wote, Kama ilivyo ada kwetu sisi vijana wengi, kukutana mwisho wa wiki aidha kwenye baa, grocery au hotels, kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kupeana ushauri kwa yale yote...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari za saa hizi wana JF wenzangu Leo jamani tuweke kumbukumbu na tushare life best experiences ambazo tunazifurahia. Inaweza kuwa ni adventure. ama ni changamoto ilokupa maendeleo au...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…