Habari zenu wadau.
Tunajamaa yetu amekuwa na tabia ya kutongoza tongoza ovyo hangaliaa sura wala tabia wala mazungira.Kutongoza tongoza kwake watu siyo issue, issue nikuwa anatangoza wake za...
haya jamani.... kwa wale waliiolewa na wanahisi wanaume zao wana nyumba ndogo, hii inawahusu, siguarantee kuwa mmeo atamuacha huyo (kama anae) ila itasaidia kufanya nyumba yako isitetereke...
Habari za saa hizi waungwana.
Leo ningependa tujifunze na tuongelee suala la emotional abuse.Hili ni jambo ambalo watu wengi wanapitia inawezekana wengine wanatambua hilo na wengine hawalitambui...
I'm a guy and I love the looks of a girl's breasts and butt, but I can't stand looking at the vagina! The labia, smell & hairy! I'm talking purely visual by the way, despite the fact that looking...
Ni ndugu yake na pia ni dada yake mkubwa. Baba yao alimuoa mama yao akiwa na tayari na mtoto wa kike ila alikua mdogo sana hivo baba alikubali kumlea mtoto hivo mtoto katika kukua kwake alijua...
Amani ya Mungu (yoyote unaemuabudu wewe) iwe rohoni mwenu. Nawatakia mfungo mwema wa kwaresmaaa.
FIRED FRIEND
Ilikuwa ijumaa asubuhi kama saa 3 mdau kanipigia anavodai kaacha kazi but 99% wanao...
Kuna hii hali iliyozoeleka kwa watu wanaoachana kuanza kusemana vibaya na kuharibiana public image lately Jay Dee VS Habash
Hivi watu hawawezi kutoka katika mahusiano na kukaa kimya,what is to...
Jamani kuna mdada hapa amechanganyikiwa eti anampenda sana huyo mume wa mtu mpaka ameanza kama kuchanganyikiwa.Anataka amuone kila wakati.
Usiku anashindwa kupata usingizi, anashindwa kufanya...
Nimekuwa nikisikia na kushuhudia wanandoa wengi wanavyo ishi majirani,ndugu na marafiki huku kukiwa na mikiki mikiki kati yao,ila kilicho nivunja moyo zaidi ni ndoa ya Mbasha sikutegemea wala...
UNAPITISHWA KWENYE MOTO ILI UWE IMARA NA THAMANI YAKO IONGEZEKE KATIKA SAFARI YA KUELEKEA KWENYE HATIMA YAKO
Ili dhahabu iweze kung'aa na kuwa na thamani zaidi lazima ichomwe moto, ipitishwe...
Habari wanajamvi.
Hii ni mara ya kwanza kuleta uzi humu mara nyingi hua msomaji tu thread za wenzangu.Nisiwachoshe wadungu by the way nilikua na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana ikawa zaidi...
Wanadamu tumeumbwa kuwa na matamanio, kutamani kufikia ndoto yako. Lakini kwenda kufikia kwenye ndoto lazima kunavitu hapa katikati lazima vifanyike. Huwezi ukajikuta tu umefikia kile...
Habari wana Jamii forums.
Mimi ni mwanaume,naish Dar es salaam nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi:
Elimu degree ya pili,mrefu kiasi,mnene kiasi,rangi yoyote,anaeishi Tanzania, umri...
Uwe majiyakunde/mweupe, kabila lolote,mkristo, umri 18-23, mkoa wowote ule,mwenye umbo lakupendeza, mimi niko Dar es salaam Kinondoni,ni mweusi 168.60 cm tall.
Ni pm nitakupatia mawasiliano yangu.
Ukiona yanayotokea kwingine ndio unajifunza kuappreciate nchi yako. Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania.
HARARE - A domestic worker has gone on trial in Zimbabwe for allegedly killing a...
Ama kwa hakika siku hizi za utandawazi kumpata binti atakaye kuwa mke ni kazi sana kama Ngamia kuingia tundu la sindano.
Baada ya kufikiri sana nimegundua kuwa ile shule ya wasichana wa Kimasai...
Habari wana Jamii forums
Kuna jambo nimekuwa nikifikiria sana ni kuhusu mahusiano ya kimapenzi kati ya walemavu na watu wa kawaida,niliwahi kuwa na mwalimu wangu mmoja alikuwa ni kilema,alipata...
Habari za leo ndugu.
Hili suala limenifikilisha sana hadi kupelekea niandike huu ujumbe hapa na kupata mawazo tofauti tofauti. Hivi hili
suala la wazazi kumkataa mchumba wa mtoto wao pasipo...