Why dating MBA is becoming a way of life to most ladies......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why dating MBA is becoming a way of life to most ladies.........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Sep 14, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Habarini wandugu.

  Jana nikiwa namalizia weekend yangu nilikuwa naperuzi jarida la Bang! nikakuta article moja ikielezea confessions from single women as to why they are more interested in married men -wenyewe wamewabatiza abbreviation ya MBA-Married But Available.

  Kwa wote walioconfess ndani ya jarida hilo wamesema kuwa these MBAs wanavyo vitu ambavyo bachellors wengi hawana. Mfano (ingawa kuna sababu nyinginezo ambazo ziko kwa wanawake hawa zaidi) ila hizi zimenivutia;
  1. Wanacare kuliko bachellors
  2. They take you seriously than bachelors and most of all
  3. They happen to have mature advice to these ladies problems than the bachelor ones
  4. Wanakupa uhuru wako-huulizwi where have you been or why are you late? e.t.c


  I wonder to what extent this is true, ningetamani kama Bang! wangewahoji kina kaka/shemeji pia kujua kwa nini wanaprefer married than single ladies.
   
 2. Kiruke cha Ibwe

  Kiruke cha Ibwe Member

  #2
  Sep 14, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  I see japo I dont support hii kitu I have to admit kua hizo sababu ni za kweli kwa kiasi kikubwa!
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kiruke hata mimi nimeona kasi inavyoongezeka siku hizi but kinachonishangaza ni kuwa hizo sifa ukiwauliza wake zao kama waume hao wanazo unawezakuta wanabisha sasa kama si unafki ni nini? mtu anacare kwa kimada kupita maelezo, kwa kimada ni romantic guy kushinda sijui nani but kwake ni mnyama!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  MBA wengi wanaotafutwa na dada zetu ni wale wenye uwezo, Bachellors wengi wanakuwa ndo wanatafuta au wanaanza maisha so Mpunga unakuwa bado haujakubali na hao wanawake si wanakuwa wanafuata mikwanja ndo maana wana rely sana kwa hao ma MBA. na MBA hawezi kukubana sana kwa sababu anakuwa mtu wa family, na mademu wengi siku hizi utakuta ana MBA wake na Jamaa ambaye anatarajia kuishi naye hapo mbeleni so kwa kuwa MBA hamchungi kwa sana ndo maana anafurahia sana huo uhuru ambao unamuwezesha vile vile kuwa na dogodogo size yake pembeni. I have experience on that.
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hii Care ya hao MBA inanitia mashaka.Kama mtu kashindwa kumcare mama watoto wake, how come akakujali wewe? ipo wapi for better for worse? I cant believe this.Na akikuchoka atatafuta sababu zilizokuwa kwa mkewe na kujipatia mwingine wa kum-care.
  Du! Hii dunia inaendea mwisho,uaminifu sifuri kabisa.
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ndo hapo Ziondaughter yaani hapa mie pananichosha kabisa - eti wanacare na wanakuwa so attentive kwa needs za hawa vimada yaani katika ya wiloconfess wapo ambao wameclaim kukaa na hao MBA wao kwa muda wa zaidi ya miaka 5 and they dont have mpango wa kuolewa kabisa sasa fikiria li-baba linagharamia kwa sigle for more than 5 years!!
   
 7. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Miaka 5 kukaa na mtu si ndoa hiyo MJ1 ?
  Kwa ukweli wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake zaidi ya 1 lakini wanabanwa na taratibu za kidini au wanalinda heshima katika jamii waonekane wanasimamia yale wayasemayo.Wengi wa hao MBA wana vyeo vikubwa serikali,makampuni au hata makanisani kwa hivyo wanajifichaficha mambo yao.Binafsi nilishawahi kukutana nao kadhaa wanataka niwe nyumba ndogo na niwazalie watoto,sasa sijui hao wajukuu wa kazi gani wakati tayari wana watoto.Uharibifu tu umewajaa.
   
 8. GP

  GP JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  aaaaah, utakulaje ugali maharage daily bana??
  hawa vimada they know to care kuliko maelezo, so MBA tunakwendaga kupata tulizo asee wacha kabisa!!, they have skillz and talents in love and romance!.
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Married But Unhappy,... :(
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mbu please you need to say more bana......... married but unhappy is what these MBA should be called or? what are you tyring to tell us kaka?
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  haihitaji maneno miiingi;

  Married But Unsatisfied...

  wanawake kwawanaume wa kileo hatujali social stigma iendayo na kuvunja viapo vya ndoa. Yaliyoonekana aibu katoka jamii miaka hiyo sasa yamegeuzwa 'sifa' za kujivunia!

  Jambo la kujiuliza kwanini wanandoa wengi miaka hii hawana furaha/ridhiko na ndoa zao?

  Nini kinachangia? matamanio ya wanandoa yanazidiwa na matarajio?

  Kabla ya kuwalaumu 'Serengeti Boyz na nyumba ndogo', Waliofungana pingu za maisha lazima waubebe msalaba huu na kusulubiwa kwanza.
   
 12. GP

  GP JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh mkuu kumbe!!, aha ahahahaaa
  MJ1 hujamuelewa hapo mkuu?
  yani mkuu mbu ndio jina lake hilo, ameoa lakini hana raha!!
  MBU=Married + But + Unhappy
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  MJ1

  Hizo zote ni dalili za mmomonyoko mkubwa wa maadili uliofikia hata hatua ya ku-award the so called married men some sort of a status na kubariki upuuzi na udhalilishaji kwa wanawake wenyewe

  Binafsi nina haya machache kichwani;

  1. Hao madada kwangu mimi nawaona ni madada poa na wanaowadhalilisha wanawake wenzao kwa kuingilia heshima zao za ndani kabisa
  2. hao madada ni malaya watupu na wasingizie chochote ku-justify umalaya wao
  3. haohao madada ni matokeo ya malezi mabaya haiyumkini ni uzao wa watu wenye tabia hizohizo kwa namna moja au nyingi kwani tabia za kutoheshimu wenzako au kutokumuogopa mungu hazianzii ukubwani
  4. haohao madada poa hawana tena dhamira kama wanawake wa heshima, bali ni vyombo vya burudani with expectations in return!!
  5. Haohao madada poa, wakiolewa hawawezi kuacha kwani ile part time pleasure ndio uhalisia wao na ndoa si lelemama kama walivyozoea

  Kwa upande wa wanaume... THEY ARE PURELY OPPORTUNISTICS USING THOSE DADAPOAS KAMA CHUPA YA TUSKER AU SIGARA, YOU ORDER, SIP/SMOKE, AND DUMP THE EMPTIES IN TEH FLOOR
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  True that mkuu, because if they were happy they wouldn't be dogging around with some bi***es like that
   
 15. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  mungu wangu shemeji ndo umeamua kuwa hivyo???????????kweli nimechoka kabisa yaani sina hamu
   
 16. GP

  GP JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  AARRGGHHH, shemeji kumbe upo duh!!.
  shem bana yamenikuta makubwa, na mie sasa kama mkuu Fidel tuko chama moja aisee.
   
 17. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Haya bana pole kwa kutendwa ndugu yangu lakini si maamuzi mazuri?kwa hiyo umeachana na shosti wangu au do kusema bado anakwambia ujipange?huko uliko kimbilia hakuna prukshani za kujipanga kwanza kabla ya kuhama kwako au na yeye kashajipanga huyo unayeenda kupumzisha mawazo?
  lakini kumbuka kabla hujajipanga utampangie yeye kwanza .

  kila la kheri shem.
   
 18. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #18
  Sep 14, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  WIZI MTUPU

  UMALAYA MTUPU.

  Hawakuulizi ulikuwa wapi kwa sababu wanaye wa kumuuliza they just take you for granted.

  Mnasema wanacare? semeni tu mnataka pesa zao na wao wanajua udhaifu wenu wanazo hela nyingi, akikupa laki jua kaingiza rushwa ya laki tano, moja wewe, mbili kwa mke, moja kwa watoto ilyobaki kwenye FUEL na BATA.

  Bachelor mnataka wawape care gani? NIKUNUNULIE Refridglator wakati maji baridi mpaka ninunu barafu kwa mchaga.
  Kwendeni zenu endeleeeni na mafataki kisha mje mtumalize kwa UKIMWI.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Sep 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hao mademu ni wajinga na hawana chembe ya maadili yoyote yale. Na hao so called married men hawajui walitakalo na hata wajijui wao ni kina nani.

  Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo. Mtu mwanamke mwenye akili na uwezo hawezi kumtegemea mtu mwingine kwa kuuza pusi yake. Yuuuck. Na mwanamme mwenye mke naye kumfanyia hivyo mkewe si vizuri. Jiulizeni, je akigeuziwa kibao na huyo mkewe atajisikiaje?

  Upumbafu mtupu
   
 20. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hawa nao kwa ku-copy paste, aibu tupu.
   
Loading...