Mwaka 2014 umekuwa mwaka mbaya sana kwa wanaume wenye miguu na mikono miwili lakini wanalelewa na wanawake. Wanaume hao ambao jijini Dar wamekuwa maarufu sana kama ''Marioo/mtaji kiuno'' wamekuwa...
Katika miaka ya hivi karibuni kuna tatizo limejitokeza la ndoa nyingi kuvunjika ndani ya mda mfupi.Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha ndoa nyingi kuvunjika lakini sababu ya kukosa uaminifu...
Kiukweli sijawai sikia iki kitu huyu kaka anadai ana tatizo ambalo hajui alimalize vipi eti yeye akimuona mdada akampenda akisema amtongoze tu basi ataanza kumuona wa kawaida tu, akimkubali...
Habari za wikiendi wanajamvi
Jamani, inatokea tabia isiyokuwa nzuri ya mtu kumdharau mpenzi wake na kumtolea mfano wa mtu mwingine eti mbona yule yuko hivi wewe unashindwa nini na vilevile hata...
Hamjambo wote MMU
Nimejaribu kulifuatilia hili nimeona. Hawa wenzetu wanawake wana sauti zaidi ya moja kulingana na mazungumzo yenyewe".Kama ni mpenzi wako mkikutana na kuongea anaset sauti ile...
Hivi kwanini mahusiano ya sikuhizi yana shida,kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano mwaka sasa unakaribia, ila mpaka leo kaka hapajui kwa dada huyo na mdada hapajui kwa kaka huyo.
Most of...
Nimearibu kumtumia msg atusaidi humo ndani kuna nini sitafute odisi na hels zotee anazopata je
anakimbia tra..ama ??embu mfuasi wa ndodi tusaidien tuwaconvience wateja waje wengine akisikia
ndani...
Mimi ni binti wa miaka 22 natafuta rafiki wa kike, awe anajiheshimu, anamawazo ya maisha, sio muhuni wala mpenda starehe za ajabu, awe anapenda kusali na mwenye hofu na mungu, msiri msafi na...
Habari za jioni ndugu za wa MMU.
Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika uzi katika jukwaa hili baada ya kupata nafasi ya kulitembelea na kuvutiwa na mada za humu ndani.
Mimi ni kijana mchapakazi...
Habari wana Jamii forums.
Nipo tena kutoa udhoefu wangu juu ya maswala ya mapenzi,watu wengi huwa wanajiuliza sana swali hili,nitamjuaje kama mpenzi wangu ananipenda kweli,swali hili huwa ni...
Kila post naona natafuta mme umri miaka 30 na kuendelea,awe na degree.Je wale waliokuwa na elimu ndogo na umri mdogo hatuwezi kupata mchumba au mume/mke hapa Jamii forums.
Habari wana jamii forums
Naomba ushauri kuna rafiki yangu anategemea kwenda kuonana na rafiki yake wa kike huko Kigoma. Kwa mara ya kwanza kwani hawajawahi kuonana kabisa bali wanawasiliana tu...
Dear Aunt, Naomba msaada wako nifanye nini. Mimi ni mke wa mtu na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla...
Madonna:Nawapenda vijana wadogo
Msanii wa nyimbo za Pop Madonna aliyesifika kwa wimbo wake 'material girl' na ambaye amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mchezaji densi Brahim Zaibat ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.