Gazeti: Toleo maalum kwa wanawake walio kwenye ndoa na wanaotaka kuingia kwenye ndoa

DOGofGOD

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
1,344
479
Katika miaka ya hivi karibuni kuna tatizo limejitokeza la ndoa nyingi kuvunjika ndani ya mda mfupi.Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha ndoa nyingi kuvunjika lakini sababu ya kukosa uaminifu ndo imekua sababu kubwa kuliko zote na ni mtihani mkubwa sana ambao umewashinda wanawake wengi sana kuzuia ndoa zao zisisambaratike

Mwanamke tambua ya kua mwanaume anapokutolea mahali na kukuweka ndani amekuheshimu sana na wewe ni kitu cha thamani sana kwake.Ebu fikiria kote alipopita huyu mwanaume mtaani kwake,kazini kwake,mabarabarani anakopita kila siku amekutana na wasichana wangapi wazuri mpaka akaamua akuchague wewe kua mwenza wake wa maisha.

Kuolewa maana yake ni kua una sifa maalum ambazo zimemvutia mwanaume aliekuchagua kua mkewe.Kwahiyo kuolewa ni bahati kwako na unapaswa kuilinda kwa nguvu zote na kamwe husiruhusu bahati hii ipotee kwasababu za kipumbavu.Mtanisamehe sana kwa kulitumia sana neno pumbavu.Na yote ni kwasababu maelezo yangu yatasimamia andiko la mithali 14:1

Wanawake wengi walioolewa mwanzoni mwa miaka ya tisini na kuendelea.Ndoa zao zimeshindwa kudumu na kuvunjika mapema sana na nyingine zimeendelea kua ndoa zikizojaa migogoro,maumivu,majuto,vurugu na kukosa amani kila kukicha na yote ni kwasababu wanawake wamekosa elimu ya kutosha ya namna ya kuishi na waume zao pindi wanapoolewa.Kwanini siwalaumu wanaume?! Karibia asilimia 90 ya ndoa kuvunjika husababishwa na wanawake.

Katika miaka ya hivi karibuni kuna tatizo limejitokeza la ndoa nyingi kuvunjika ndani ya mda mfupi.Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha ndoa nyingi kuvunjika lakini sababu ya kukosa uaminifu ndo imekua sababu kubwa kuliko zote.Na ni mtihani mkubwa sana ambao umewashinda wanawake wengi sana kuzuia ndoa zao zisisambaratike

Mwanamke tambua ya kua mwanaume anapokutolea mahali na kukuweka ndani amekuheshimu sana na wewe ni kitu cha thamani sana kwake.Ebu fikiria kote alipopita huyu mwanaume mtaani kwake,kazini kwake,mabarabarani anakopita kila siku amekutana na wasichana wangapi wazuri mpaka akaamua akuchague wewe kua mwenza wake wa maisha.? Kuolewa maana yake ni kua una sifa maalum ambazo zimemvutia mwanaume aliekuchagua kua mkewe.Kwahiyo kuolewa ni bahati kwako na unapaswa kuilinda kwa nguvu zote na kamwe husiruhusu bahati hii ipotee kwasababu za kipumbavu.Mtanisamehe sana kwa kulitumia sana neno pumbavu.Na yote ni kwasababu maelezo yangu yatasimamia andiko la mithali 14:1

Wanawake wengi walioolewa mwanzoni mwa miaka ya tisini na kuendelea.Ndoa zao zimeshindwa kudumu na kuvunjika mapema sana na nyingine zimeendelea kua ndoa zikizojaa migogoro,maumivu,majuto,vurugu na kukosa amani kila kukicha.Na yote ni kwasababu wanawake wamekosa elimu ya kutosha ya namna ya kuishi na waume zao pindi wanapoolewa.Kwanini siwalaumu wanaume.

Karibia asilimia 90 ya ndoa kuvunjika husababishwa na wanawake.
Mithali 14:1 "Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe"Hata MUNGU anajua dhima kubwa ya kuifanya ndoa idumu au ivunjike iko kwa mwanamke.Na ndomana leo nimeamua niwatolee macho wanawake kwasababu wengi wao wameshindwa kujitambua na kujua wajibu wao.

Kwanza kabisa: Wewe mwanamke unaesoma uzi huu sasa hivi lazima uelewe ya kua unaishi katika dunia ya mwanaume (Man's World).Hii dunia iliumbwa kwa ajili ya mwanaume na mwanamke aliletwa apa duniani kua msaidizi tu wa mwanaume(soma vitabu vya dini vizuri).Kwahiyo ni kosa kubwa sana kwa wewe mwanamke kujifanya unataka kushindana na mwanaume kwa namna yeyote ile.Hizi kelele za usawa unazozisikia ni porojo tu za kukufanya usijisikie vibaya.Lakini ukweli ni kua usawa kati ya mwanaume na mwanamke haupo na kamwe hauwezi kuwepo.Mwenyenyumba kamwe hawezi kua sawa na mpangaji wake kwa kila kitu

Pili: Swala la mwanaume kutoka nje ya ndoa ni la asili ya mwanaume tokea kuumbwa kwa dunia hii.Ni kosa kubwa sana na la kipumbavu kwako wewe mwanamke kuvungasha vilago vyako na kurudi kwenu eti kisa umemfumania mumeo live na mwanamke mwingine.Ni kosa kubwa sana na la kipumbavu kwako wewe mwanamke kumnyima unyumba mumeo eti kisa ulimfumania live na kidosho flani hivi.

Ni kosa kubwa sana na la kijinga kwa wewe mwanamke kutembea na rafiki wa mumeo eti kisa unalipiza kisasi kwasababu unajua mumeo anatembea na rafiki yako wa karibu.Ni kosa kubwa sana na la kindezi kwako wewe mwanamke kukataa kumpikia chakula mumeo,kukataa kumuwekea maji ya kuoga,kumdharua,kumkasirikia na kumnunia eti kisa umesikia anatembea na msichana wa chumba cha jirani.

Ukifanya yote hayo humkomoi mwanaume bali unajikomoa mwenyewe na unaivunja ndoa yako kwa upumbavu wako.Husimlipe mumeo mabaya kwa mabaya bali kila siku mlipe mabaya kwa wema na ndoa yako itadumu.Binadamu yeyote anapokutendea mabaya wewe endelea kumtendea mema.Mwisho wa siku ataona aibu na kujirekebisha.Na ndio walivyokua wanafanya wanawake wenzenu walioolewa miaka ya tisini kushuka chini.Na ndio siri kubwa ya mafanikio ya ndoa zao.Mwanaume hana usasa au uzamani.Mwanaume ni yuleyule jana leo na hata kesho.Kwahiyo chukua hiyo na uizingatie

Mwisho zingatia pia haya yafuatayo;

1. Wanaume ni watu wa kuonjaonja.Kwahiyo ukimuona mumeo anatembea na mwanamke mwingine zaidi yako wala husipaniki na kuona labda ni mzuri zaidi yako,au ukahisi pengine mumeo ameshaanza kukuchoka.Hapana hivyo ni vitabia vyao tu vya asili vya kupenda kuonjaonja.Kama angekua yule ni bora kuliko wewe angemuweka yeye ndani.Ukijitia presha na kumnunia na kumgasi ndo unazidi kumfukuza mumeo.Mwisho wa siku ataanza kuona kule anakochepukia kuna utulivu zaidi kuliko uku kwako kwahiyo ni rahisi kuharibu ndoa yako kwa wewe kukosa busara.

2. Husijaribu kamwe kumlipa kisasi mumeo kwa machafu yake anayoyafanya hata kama unayajua yote.Na wewe ukaanza kufanya mambo machafu kama kumkomoa.Ukifanya hivyo unajidhalilisha mwenyewe.Hii ni dunia ya wanaume huwezi kushindana nao.Mwanaume mzinzi na mwanamke mzinzi ni watu wawili tofauti.Hata mbele ya jamii inawatizama tofauti. Kwahiyo siku zote kubali kua chini ya mwanaume. Na kua chini ya mwanaume sio ujinga ila ni busara ambayo mwanamke unatakiwa uwe nayo

3. Ukigundua mumeo anachepuka wala husipate presha.Kama nilivyokwisha eleza toka awali ni vitabia vya asili walivyonavyo wanaume vya kupenda kuonjaonja kwahiyo wala visikutishe.Siku zote kumbuka heshima aliyokupa mumeo ya kukupenda na kukuweka ndani ina nguvu mno kuliko kitu kingine chochote.Na ndio siraha yako ya kuyashinda haya mambo mengine yote.

Jitambue na jiamini ya kua wewe ni wathamini sana kuliko hao anaowatumia kuchepuka nao.
Kwahiyo hata kama unajua ametoka kuchepuka akirudi nyumbani muandalia maji ya kuoga,mwandalie chakula mezani ale ashibe,husimnunie,husimkasirikie,mchangamkie kama siku zote.Akimaliza kula mwache apumzike.Mnapoingia chumbani kulala ndo mahali pazuri pa kumpa vidonge vyake.Lakini husimfokee wala kutumia maneno makali.Mueleze kwa kutumia sauti ya upole na nyororo iliyojaa upendo.

Mwambie hivi "samahani mume wangu nna maongezi na wewe laazizi wangu".lazima atakuuliza ni maongezi gani hayo mke wangu.Unaendelea "mume wangu najua ya kua unanipenda sana,hata mimi pia nakupenda sana.najua kwa mapenzi uliyonayo kwangu ndomana ukanichagua mimi niwe mkeo wa ndoa na kuniweka ndani"."sipendi mume wangu tugombane kwasababu bado nakupenda sana na ndomana nimekuita ili tulizungumzie ili swala".

"Najua mume wangu una mahusiano na yule dada flani."na unavyonifanyia mume wangu sio vizuri.na istoshe unanizalikisha mimi mkeo"."kwahiyo kama kweli ulinipenda na kuamua kunioa basi naomba uiache hiyo tabia siipendi".ukishamaliza kumwambia maneno hayo muongeze na penzi zito motomoto.Kesho asubuhi akiamka atajiuliza mara mbili na kama kweli alikua ameanza tabia ya kuchepuka basi ataacha mwenyewe.

Kwasababu ataona aibu kwa jinsi ulivyomweleza kwa unyenyekevu japo wewe ndo uliekosewa.Ukitumia mbinu hii utaona jinsi mambo yako yatakavyo kunyookea na ndoa yako jinsi itakavyokua na amani.Ila kama mnapenda kuharibu ndoa zenu endeleeni na tabia za kuwashupalia waume zenu.

4. Hatuwezi kusema kwa asilimia 100 kua wanawake uwa hamchepuki.La hasha hata nyie ni binadamu kuna wakati na nyie mnatamani kubadilisha ladha.Kwahiyo kuchepuka inaruhusiwa kwa mwanamke lakini kwa staha ya hali ya juu sana.Tena kwa mara chache sana na inapobidi sana.Kwa mwanamke kuchepuka ni mara1 au 2 tu kwa mwaka

Fanya mchepuko wako mbali kabisa na nyumbani tena sio na mtu wa karibu na mumeo.Na ukirudi nyumbani heshima kwa mumeo ibaki palepale na mapenzi kwa mumeo yasipungue.Chepuka na mtu ambae baada ya kuchepuka nae hata kusumbua tena kwa simu au sms.Vingivevyo sikushauri na acha kabisa ni hatari kwako na kwa ndoa yako.Kumbuka mchepuko kwa mwanamke ni kosa kubwa sana lakini kwa mwanaume ni asili kwahiyo kua makini

Mimi ya kwangu ndo ayo nimeshayawalisha kwenye ili gazeti langu sina deni na mtu
Mithali 14:1 "Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe"Hata MUNGU anajua dhima kubwa ya kuifanya ndoa idumu au ivunjike iko kwa mwanamke.Na ndomana leo nimeamua niwatolee macho wanawake kwasababu wengi wao wameshindwa kujitambua na kujua wajibu wao.

Kwanza kabisa: Wewe mwanamke unaesoma uzi huu sasa hivi lazima uelewe ya kua unaishi katika dunia ya mwanaume (Man's World).Hii dunia iliumbwa kwa ajili ya mwanaume na mwanamke aliletwa apa duniani kua msaidizi tu wa mwanaume(soma vitabu vya dini vizuri).

Kwahiyo ni kosa kubwa sana kwa wewe mwanamke kujifanya unataka kushindana na mwanaume kwa namna yeyote ile.Hizi kelele za usawa unazozisikia ni porojo tu za kukufanya usijisikie vibaya.Lakini ukweli ni kua usawa kati ya mwanaume na mwanamke haupo na kamwe hauwezi kuwepo.Mwenyenyumba kamwe hawezi kua sawa na mpangaji wake kwa kila kitu

Pili: Swala la mwanaume kutoka nje ya ndoa ni la asili ya mwanaume tokea kuumbwa kwa dunia hii.Ni kosa kubwa sana na la kipumbavu kwako wewe mwanamke kuvungasha vilago vyako na kurudi kwenu eti kisa umemfumania mumeo live na mwanamke mwingine.Ni kosa kubwa sana na la kipumbavu kwako wewe mwanamke kumnyima unyumba mumeo eti kisa ulimfumania live na kidosho flani hivi.

Ni kosa kubwa sana na la kijinga kwa wewe mwanamke kutembea na rafiki wa mumeo eti kisa unalipiza kisasi kwasababu unajua mumeo anatembea na rafiki yako wa karibu.Ni kosa kubwa sana na la kindezi kwako wewe mwanamke kukataa kumpikia chakula mumeo,kukataa kumuwekea maji ya kuoga,kumdharua,kumkasirikia na kumnunia eti kisa umesikia anatembea na msichana wa chumba cha jirani.

Ukifanya yote hayo humkomoi mwanaume bali unajikomoa mwenyewe na unaivunja ndoa yako kwa upumbavu wako.Husimlipe mumeo mabaya kwa mabaya bali kila siku mlipe mabaya kwa wema na ndoa yako itadumu.Binadamu yeyote anapokutendea mabaya wewe endelea kumtendea mema.

Mwisho wa siku ataona aibu na kujirekebisha.Na ndio walivyokua wanafanya wanawake wenzenu walioolewa miaka ya tisini kushuka chini.Na ndio siri kubwa ya mafanikio ya ndoa zao.Mwanaume hana usasa au uzamani.Mwanaume ni yuleyule jana leo na hata kesho.Kwahiyo chukua hiyo na uizingatie

Mwisho zingatia pia haya yafuatayo;

1. Wanaume ni watu wa kuonjaonja.Kwahiyo ukimuona mumeo anatembea na mwanamke mwingine zaidi yako wala husipaniki na kuona labda ni mzuri zaidi yako,au ukahisi pengine mumeo ameshaanza kukuchoka.Hapana hivyo ni vitabia vyao tu vya asili vya kupenda kuonjaonja.Kama angekua yule ni bora kuliko wewe angemuweka yeye ndani.Ukijitia presha na kumnunia na kumgasi ndo unazidi kumfukuza mumeo.Mwisho wa siku ataanza kuona kule anakochepukia kuna utulivu zaidi kuliko uku kwako kwahiyo ni rahisi kuharibu ndoa yako kwa wewe kukosa busara.

2. Husijaribu kamwe kumlipa kisasi mumeo kwa machafu yake anayoyafanya hata kama unayajua yote.Na wewe ukaanza kufanya mambo machafu kama kumkomoa.Ukifanya hivyo unajidhalilisha mwenyewe.Hii ni dunia ya wanaume huwezi kushindana nao.Mwanaume mzinzi na mwanamke mzinzi ni watu wawili tofauti.Hata mbele ya jamii inawatizama tofauti. Kwahiyo siku zote kubali kua chini ya mwanaume. Na kua chini ya mwanaume sio ujinga ila ni busara ambayo mwanamke unatakiwa uwe nayo

3. Ukigundua mumeo anachepuka wala husipate presha.Kama nilivyokwisha eleza toka awali ni vitabia vya asili walivyonavyo wanaume vya kupenda kuonjaonja kwahiyo wala visikutishe.Siku zote kumbuka heshima aliyokupa mumeo ya kukupenda na kukuweka ndani ina nguvu mno kuliko kitu kingine chochote.Na ndio siraha yako ya kuyashinda haya mambo mengine yote.Jitambue na jiamini ya kua wewe ni wathamini sana kuliko hao anaowatumia kuchepuka nao.

Kwahiyo hata kama unajua ametoka kuchepuka akirudi nyumbani muandalia maji ya kuoga,mwandalie chakula mezani ale ashibe,husimnunie,husimkasirikie,mchangamkie kama siku zote.Akimaliza kula mwache apumzike.Mnapoingia chumbani kulala ndo mahali pazuri pa kumpa vidonge vyake.Lakini husimfokee wala kutumia maneno makali.Mueleze kwa kutumia sauti ya upole na nyororo iliyojaa upendo.

Mwambie hivi "samahani mume wangu nna maongezi na wewe laazizi wangu".lazima atakuuliza ni maongezi gani hayo mke wangu.Unaendelea "mume wangu najua ya kua unanipenda sana,hata mimi pia nakupenda sana.najua kwa mapenzi uliyonayo kwangu ndomana ukanichagua mimi niwe mkeo wa ndoa na kuniweka ndani"."sipendi mume wangu tugombane kwasababu bado nakupenda sana na ndomana nimekuita ili tulizungumzie ili swala".

Najua mume wangu una mahusiano na yule dada flani."na unavyonifanyia mume wangu sio vizuri.na istoshe unanizalikisha mimi mkeo"."kwahiyo kama kweli ulinipenda na kuamua kunioa basi naomba uiache hiyo tabia siipendi".ukishamaliza kumwambia maneno hayo muongeze na penzi zito motomoto.

Kesho asubuhi akiamka atajiuliza mara mbili na kama kweli alikua ameanza tabia ya kuchepuka basi ataacha mwenyewe.Kwasababu ataona aibu kwa jinsi ulivyomweleza kwa unyenyekevu japo wewe ndo uliekosewa.Ukitumia mbinu hii utaona jinsi mambo yako yatakavyo kunyookea na ndoa yako jinsi itakavyokua na amani.Ila kama mnapenda kuharibu ndoa zenu endeleeni na tabia za kuwashupalia waume zenu.

4. Hatuwezi kusema kwa asilimia 100 kua wanawake uwa hamchepuki.La hasha hata nyie ni binadamu kuna wakati na nyie mnatamani kubadilisha ladha.Kwahiyo kuchepuka inaruhusiwa kwa mwanamke lakini kwa staha ya hali ya juu sana.Tena kwa mara chache sana na inapobidi sana.Kwa mwanamke kuchepuka ni mara1 au 2 tu kwa mwaka.Fanya mchepuko wako mbali kabisa na nyumbani tena sio na mtu wa karibu na mumeo.

Na ukirudi nyumbani heshima kwa mumeo ibaki palepale na mapenzi kwa mumeo yasipungue.Chepuka na mtu ambae baada ya kuchepuka nae hata kusumbua tena kwa simu au sms.Vingivevyo sikushauri na acha kabisa ni hatari kwako na kwa ndoa yako.Kumbuka mchepuko kwa mwanamke ni kosa kubwa sana lakini kwa mwanaume ni asili kwahiyo kua makini

Mimi yangu ndio hayo nimeshayawalisha kwenye hili gazeti langu
 
Khaa!! Hii tabia ya kuonjaonja ya mwanaume ni mwanaume anamuonja mwanaume mwenzie au? Nauliza tu
 
Khaa!! Hii tabia ya kuonjaonja ya mwanaume ni mwanaume anamuonja mwanaume mwenzie au? Nauliza tu

Kuonja Wanaume Wenzio Ni Ufilauni.Mimi Nawaongelea Wanaume Wenye Akili Timamu.Na Sio Wale Mafilauni
 
Reality hakuna mwanaume MALAYA bali kuna mwanamke MALAYA,kidume kuonja hulka yetu....
 
Yaani mleta mada uko kweli asilimia zoote. Wanawake wanatakiwa wajue asili ya viume wenye insia ya kiume na tsbia zao
 
Nimekupata vzr sn mkuu. Lkn kumbuka dunia ya leo asilimia kubwa sn ya watu ni HIV positive! Swali bora niwe mpumbavu mwisho wa siku nibaki mzima nilee watoto au niishikilie ndoa ya michepuko tufe wote tuache watoto wawe wa mitaani?
 
Kuchepuka Kwa Mwanaume Sio Tabia Mbaya Ila Ni Hulka Ya Asili Kwa Wanaume Karibia Wote.Wanachotofautiana Ni Digrii Ya Kuchepuka.Wapo Wanaochepuka Kila Siku,kwa Wiki Mara Moja,kwa Mwezi Mara Moja,kila Baada Y Miezi6,kwa Mwaka Mara Moja n.k.Cha Msingi Ukigundua Mumeo Anachepuka Husipaniki Na Kuanza Kumfanyia Visa Na Kudai Talaka.Hilo Ni Kosa Kubwa Sana.Endelea Kutumia Mbinu Nilizozieleza Apo Juu.Utaona Ile Roho Ya Kuonjaonja Inapungua Au Anaweza Kuacha Kbisa Akakaa Hata Zaidi Ya Mwaka Au Miaka Miwili Bila Y Kuchepuka.Na Hatari Ya Kuambukizwa Magonjwa Ikawa Ndogo Sana.Ila Husisahau Kuendelea Kumuombea Mumeo Ili Mungu Amuepusha Na Magonjwa.Kama Vile Unavyomuombea Kila Siku Mungu Amuhepushe Na Ajali Za Barabarani.Na Hatari Zozote Awepo Kazini.
 
Kwahiyo mwanaume kushikilia tabia mbaya na kusema ni asili ni sawa, halafu mimi ndio nimuombee kwann asijiombee kuacha huo uasili ambao ameshajua una madhara na inawezekana kuachwa akiamua?

Sidhani kama kuna mantiki hapo na ikumbukwe kila mtu atakufa peke yake kama alivyozaliwa peke yake haya mambo ya kutaka ufa na mwenzio huku ukisema tabia asili hainiingii akilini hata kidogo.
 
Nafikahedi

Kama Kuna Maumbile Ya Asili Ya Mwanaume Na Wanamke.Kwanini Kusiwepo Na Tabia Ya Asili Ya Mwanaume Au Mwanamke? Unajisikiaje Ukimuona Mwanaume Anamatiti Kifuani Au Mwanamke Ana Ndefu Kidevuni?.Ni Lazima Utasema Huyu Mwanaume Anamatiti Kama Mwanamke Na Huyu Mawanamke Anandevu Kama Mwanaume.

Kwahiyo Ata Tabia Ni ivyoivyo.Kila M2 Ana Asili Yk.Kuna Wanaume Wanawez Kukaa Hata Miaka2 Au Mi3 Bila Ya Kuchepuka.Lakini Ipo Siku Atachepuka Tu.Wale Wenzangu Na Mimi Ndo Hawawezi Kumaliza Hata Wiki Bila Ya Kuchepuka.Kwhy Hutakiwi Kumlauma Au Kua Na Jazba Badala Yake Tumia Busara Kupunguza Hili Tatizo Kama Si Kuliondoa Kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kuonja Wanaume Wenzio Ni Ufilauni.Mimi Nawaongelea Wanaume Wenye Akili Timamu.Na Sio Wale Mafilauni
Khaa!! basi umejichanganya. equation yako haiko balanced. Wanaume waonjeonje mara mara lakini wanawake mara 1 au 2 kwa mwaka. Sasa hao wanaume watapata wapi hao wanawake wa kuonjaonja kama siyo hawahawa ambao ni wake/wapenzi wa watu?? Au wakaonjeonje wanawake wa kwenye sayari ya Mars??
 
Hili ni Gazeti au gumzo la vijana? au la viepe mayai?
hii Research umeifanyia wapi ambako wanaume wanaruhusiwa kulibeba hili Gnjwa?
Kiepe Yai
Kuonja Wanaume Wenzio Ni Ufilauni.Mimi Nawaongelea Wanaume Wenye Akili Timamu.Na Sio Wale Mafilauni
Ukikua uataleta mrejesho kamili lakin kwa hapa sina neno
 
Khaa!! basi umejichanganya. equation yako haiko balanced. Wanaume waonjeonje mara mara lakini wanawake mara 1 au 2 kwa mwaka. Sasa hao wanaume watapata wapi hao wanawake wa kuonjaonja kama siyo hawahawa ambao ni wake/wapenzi wa watu?? Au wakaonjeonje wanawake wa kwenye sayari ya Mars??

Mkuu Hujaelewa.Rudia Tena Kulisoma Gazeti Vizuri.Halafu Ndo Urudie Kuuliza Swali Lako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom