Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.
Ila mume wangu hanifikishi kileleni...
DAH NOMA STORY YA DADA HUYU KAHABA INASISIMUA NA KUHUZUNISHA LAKINI NDO HIVYO TENA
12:08 -STORY -No comments.
-Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika...
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani tunaambiwa tushukuru kwa kila jambo.Nilikuwa na girlfriend ambaye nilianza naye mahusiano kipindi ninahitimu chuo kikuu mwaka 2011.
Nilimpenda sana...
Wanajamii kipindi nipo form four nilitokea kumpenda msichana lakini siikuwahi kumwambia na mbali na hapo hata kuongea nae bado bahati nzuri nimemcheki Facebook nikamweleza ya moyoni.
Ila...
Humu MMU watu walio wengi wamepigizwa sana na mahusiano ya kimapenzi, wameachwa, wameacha, wameachika, ni wataalamu wa vita vya kujihami na kupigana ndani ya mahusiano. Siamini kabisa kama kuna...
Kuna rafiki yangu ambaye tuko kitambo kwenye mambo yetu ya kusaka tonge. Pamoja na bidii aliyonayo ana bahati ya mambo kumnyookea pindi afanyapo jambo. Kikubwa kilichokuwa kina mtatiza ni yeye...
Mimi nilikuwa nikiishi na mwenzangu takribani miaka mitatu ilopita. Mungu alitujalia kupata mtoto mzuri wa kike kwa jina aliitwa Mishelly, mwaka jana mwezi wa kwanza mishelly wangu alifariki gafla...
Wadau kila nikisikiliza habari za kimataifa nasikia habari za ubakaji zinaongezeka sana India,hii inasababshwa na nini.
1.Ugumu wa maisha.
2.Wanawake wa kihindi na wazuri sana, wanawake ni wengi...
Yani kila mkutano hakosekani ndio utakuwa umemtoa sadaka hivyo, kuna mdada mmoja ni mke wa jirani yangu,yeye kabla hajaingia kwenye ufurukutwa wa chama flani alikuwa ni wife material kwa sana tu...
Habari za asubuhi
Jamani hii tabii ya wanaume kuwatukana wanawake itaisha lini utakuta mwanaume mzima na akili zake anamtukana mwanamke kisa tu amekataa kumsikiliza kwa stahili hii mtaishia kuona...
Hebu tuzijadili changamoto za kuwa na mwezi askari.Hasa ikifahamika hawa wenzetu wanaongozwa kwa amri, na utii wa sheria bila shuruti.Hivi ni mambo gani yanayowasibu hawa wenzetu walionawenzi...
Ukijikuta kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kitu pekee kitu pekee cha maana cha kujivunia katika maisha yake ni makalio yake au muonekano wake tafadhali toka mbio maana hapo ni sawa na...
Habari
Jana ilikuwa ni siku ya valentine.Watu wengi hasa wapenzi wamekuwa wakitumiana meseji zenye kuonyesha jinsi gani kila mmoja anavyompenda/kumjali mwenzake.Tatizo ni kwamba meseji nyingi sio...
Nilitokea kumpenda demu mmoja,nikavutiwa naye nikamtongoza akakubali. Baada ya kula vitu siku ya kwanza nikanogewa. Nikaamua kumpa simu, smartphone Nokia Lumia TZS 650,000.
Nimekaa naye kama...
Huu mchezo umepungua kwa kiasi kikubwa sana kwa miaka ya karibuni ila kwa hapo nyuma ilikuwa ikifika jioni basi kila mtaa utakuta watoto wakicheza kombolela (mchezo wa kujificha then...
Heshima kwenu.
Kuna this girl nilitoka nae for less than 2 months halafu tukaachana baada ya kugundua alinidanganya kuhusu issue moja sensitive kiasi and I couldn't trust her no-more (I really...
Ni wazi kabisa nafsi yangu imebaki kumtegemea mke nitakayemwoa katika kupata faraja na upendo wa dhati vilivyopotea kwa muda mrefu kama si kuwahi kuvipata.Na hii ni kwa sababu nimeishi ndani ya...
Habari za asubuhi wapendwa wangu.
Utandawazi unatubadilisha mno fikra zetu,mienendo yetu,ule ukuta au usiri/aibu ulokuwepo awali kati ya wakubwa kuficha mambo yao na vijana wadogo kuyajua wakiwa...
Nimekuwa nikipiga story na rafiki zangu, utakuta wanalalamika kuwa familia yangu imekuwa kubwa ghafla, baada ya kuoa kuna ndugu wa mwanamke wamekuja kwa kasi, wengine ni wadogo wa mke wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.