Kumdharau mpenzi wako kunakatisha tamaa

Kumdharau mpenzi wako kunakatisha tamaa

Akasankara

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
4,268
Reaction score
5,815
Habari za wikiendi wanajamvi

Jamani, inatokea tabia isiyokuwa nzuri ya mtu kumdharau mpenzi wake na kumtolea mfano wa mtu mwingine eti mbona yule yuko hivi wewe unashindwa nini na vilevile hata kama akikuambia jambo la muhimu wewe unachukulia kawaida tu inakatisha tamaa jamani sijui ni nini chanzo chake.

Karibuni tujadili
 
Sana kabisa kabisa yaan utakuta hata unamuomba tu ushauri wa kufanya kitu flan anakujibu umeshindwa kufanya vile...hiv utaweza kweliiii......inauzi sana inacreate a sense of inferiority....
 
kweli mkuu, yaani kuna rafiki yangu hapa hana raha kabisa anadharauliwa utafikiri hana akili.
 
Inakera mno mpenzi wa hivo ni wa kumpuuza na sio wa kumwambia kitu unapoanza ukiona mafanikio ndo unampa taarifa...ili hata kikifa unapiga kimya
 
Umenena vyema! Lakini chanzo chake nini hasa?
 
Sana kabisa kabisa yaan utakuta hata unamuomba tu ushauri wa kufanya kitu flan anakujibu umeshindwa kufanya vile...hiv utaweza kweliiii......inauzi sana inacreate a sense of inferiority....

Yaani hii tabia inanikera hadi basi.
 
Poleni sana sana ila mimi nawaheshimu sana saana watu wote kwa wakati wote. Hata mtu akijishusha hadhi mimi kwangu bado anabaki kuwa wa thamani sana.
 
Dharau ni chanzo kikubwa cha umasikini. Lkn wanaume wangeweza kusikiliza ushauri wa wanawake zao kungekuwa na maendeleo sn! Wapo wanawake wana vry productive ideas lkn wanakosa wakuwasikiliza and vice versa.
 
Beijing view
 
Mpenzi wako akikuomba ushauri hasa wa kibiashara na ww ukampa business plan nzuri kitakacho fuatwa ni "baby naomba niongeze mtaji"

Kupunguza haya yote ni kumkatisha tamaa tu kwa kumjibu vibaya!Kama mbwai na iwe mbwai tu
 
Back
Top Bottom