Mnyakilambo7
Member
- Oct 15, 2014
- 63
- 27
Iam 21 years old, natafuta rafiki wa kchat nae, kubadilishana nae mawazo, umri wowote tu
Kama upo tayari ni PM namba yako.
Karibu.
Kama upo tayari ni PM namba yako.
Karibu.
Aisee huo umri ungetafuta wanafunzi wenzio huko shuleni lakini humu utaperepetwa buree
Aisee huo umri ungetafuta wanafunzi wenzio huko shuleni lakini humu utaperepetwa buree
Aisee huo umri ungetafuta wanafunzi wenzio huko shuleni lakini humu utaperepetwa buree
Teh Teh mwache alicheze segere segere...
Hebu kakabemende hako kachalii.... Naona kamezidiwa.
acha bwe bwe mfate pm. ukakutane na damu changa
Unadhani mie ni wewe wa sitaki nataka?
Umemaliza shule?
Ndo namaliza chuo dis yr
Chuo unachosoma ni cha wavulana tu?
Hahaaaah
...hapana bhana, ila kina wanawake wachache sana though hiyo co sababu ya mm ktafta mwnamke hapa!
Ok kwa mfano ukimpata utamfanyaje? Embu elezea historia yako ya kimapenzi!
Nadhan nimeeleza vzur hapo juu.......kuhusu mapenz, cyafanyi kwa sasa, npo busy kdg na xcul nkimaliza, I'll think of it !
Huku hakuna size yako tafuta shule ya kata iliyo karibu na nyumbani kwenu nenda kidato chapili ujitwalie kabinti ulee hadi kaive kwa matumizi ya nyumbani maan awengi humu ni mama zako!
Huku hakuna size yako tafuta shule ya kata iliyo karibu na nyumbani kwenu nenda kidato chapili ujitwalie kabinti ulee hadi kaive kwa matumizi ya nyumbani maan awengi humu ni mama zako!
f*ck you achen mawazo ya kishenzi,ndyo nyinyi msio na mbele wala nyuma kazi kusubili baba ako afe uanze kugombania boda boda yenu,mtu anajieleza unaanza kumkatisha tamaa,kwani wameweka limt humu,moda faka ww