Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wanajukwaa Hali hii inakuwaje jamani, ni hulka ya mpenzi wangu au ni jambo la kawaida kwa wadada na wakaka wote.Nimekuwa siwezi kumwambia jambo lolote hadi nimbembeleze kwanza.Naomba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Harusi moja ilitibuka nchini India baada ya bwana harusi kufeli swali rahisi sana la hisibati aliloulizwa na bi harusi.Harusi moja ilitibuka nchini India baada ya bwana harusi kufeli swali rahisi...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Iam a boy natafuta mwenzangu tuliwazane, miaka 18-30 although Iam 25.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Najitokeza kwenu wadau kuwaomba ushauri Mimi ni kijana(mwanaume) mwenye nyumba wangu huyu mwanamama huwa ananisumbua sana ananitaka kimapenzi japo anamume wake anayeishi nae kwenye nyumba...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Wasalam Nimekuwa na mahusiano na binti kwa takribani miezi 7 sasa, ni single mother na ni Worker, kiukweli nampenda na nadhani yeye pia ananipenda. Tatizo ni kuwa huyu mpenzi ni muongo na mbaya...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29,elimu ni chuo kikuu,ni mwembamba kiasi ni mfupi kiasi alafu ni mweusi. nimtakae awe na umri wa miaka 20-27,elimu yake awe na masters,mweupe,asiwe...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia 40 hadi 55 nimechoka usumbufu wa vijana.
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kama wewe ni mdada/mama wa umri huo na unataka kuwa na rafiki wa kiume wa kumwamini Sifa; Awe na Afya njema Awe na kipato chake kizuri atakuwa huru kuwasiliana na mimi na kukutana kwa nafasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ninaishi na vvu nimetengana mke wangu baada ya kugundua kuwa mimi ni mwadhirika hali yangu ni mzuri huwezi kunitambua kwa macho na ninatumia arv kwahiyo natafuta mwenzangu anu PM awe...
0 Reactions
127 Replies
17K Views
Habari za siku nyingi wana Jamii Forums Nina siku mbili niko nyumbani nikiwa natokea safarani katika shughuli za kimaendeleo ambazo zilinilazimu kusafiri na kutoweka maeneo ya nyumba kwa mda wa...
0 Reactions
98 Replies
13K Views
A long long time ago years ago, God our creator created man then after seeing that man was sad due to loneliness He decided to give him a helper namely woman. But thousands of years later, man is...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana MMU Katika ukuaji wangu, kipindi cha kupevuka nilijikuta nimenasa kwenye tabia ya punyeto.Sikuwa mtu wa mademu punyeto ilisolve kil kitu mimi nikawa nakazana na kitabu tu. Sasa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habarini wakuu Huyu dada hata kama ametembea nje ya ndoa, kupigwa kama mnyama ni haki kweli. Hii imekuwa ni tabia ya baadhi ya wanaume wengi kuwapiga wanawake wao kama wanapiga ngoma. Tazama...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Kuna tabia wadada wameanza,anavaa nguo ya heshima ndefu ya kufunika miguu halafu anashika na mikono na kuvuta kiasi kwamba inaonekana tena kama nguo fupi.Dada zangu hiyo tabia inatukera sana.
0 Reactions
110 Replies
12K Views
Kuna msichana mmoja nimetembea nae mara moja tu baada ya miezi miwili anadai ana mimbayangu. Kinachonichanganya ni kwamba tumetumia kinga kinga hiyo mimba imetoka wapi.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana MMU Kuna makabila nimekutana nayo ambazo mkisha achana na mke wako unaruhusiwa kwenda kuchukua mahari uliyo mlipia kwa wazazi wake. swali je kuna ubaya wowote kurudisha mali zako,je...
1 Reactions
68 Replies
13K Views
Habari zenu wakuu, Natumaini mu wazima katika Sunday hii, imenitokea kumpenda dada mmoja ambaye ni muuza mihogo na tambi katika chuo chetu hapa mjini. Katika harakati za kumpa namba nilimpa P6...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wana member,jana nilivyokuwa kazini, muda wa lunch nilikuwa na rafiki zangu wakawa wananiambia eti matajiri/ wasomi wengi huchelewa kuoa au kuwa na watoto je wadau sababu ni ipi hasa.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Natafuta rafiki wa kike kwaajili ya kubadishana mawazo hasa yahusuyo mahusiano na ndoa pamoja na mambo mengine ya kimaisha. warafiki wa kiume ninao wengi sana! sifa za msingi: miaka 18 hadi 25...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Natafuta mwanamke wa kufunga naye ndoa ,sifa zake awe ni mwisalm pia anayefanya kazi za kujiajiri ama kujairiwa elimu yeyote miaka kwanzia 20 mpka 35, kabila yeyote mimi namika 35 na elimu ya...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Back
Top Bottom