Wadau kila nikisikiliza habari za kimataifa nasikia habari za ubakaji zinaongezeka sana India,hii inasababshwa na nini.
1.Ugumu wa maisha.
2.Wanawake wa kihindi na wazuri sana, wanawake ni wengi sana India.
3.Au sheria zao na vyombo vyao vya dola ni dhaifu sana.
Nini maoni yako katika hili.
1.Ugumu wa maisha.
2.Wanawake wa kihindi na wazuri sana, wanawake ni wengi sana India.
3.Au sheria zao na vyombo vyao vya dola ni dhaifu sana.
Nini maoni yako katika hili.