Valentine day na meseji za kuforward

Valentine day na meseji za kuforward

Muhode

Member
Joined
May 7, 2013
Posts
12
Reaction score
4
Habari
Jana ilikuwa ni siku ya valentine.Watu wengi hasa wapenzi wamekuwa wakitumiana meseji zenye kuonyesha jinsi gani kila mmoja anavyompenda/kumjali mwenzake.Tatizo ni kwamba meseji nyingi sio original,yaani ni za kuforward.Je aina hizi za meseji zinamaana yoyote kwa unayemtumia? Kwa maoni yangu ni bora meseji iwe sio nzuri sana lkn iwe original,hii inamaana sana kuliko msg nzuri sana ya kuforward.
Tubadilike.
 
Jana ilikua valentine,jana Jana mh kwani valentine ni tareh ngapi?
 
Mtu anakutumia sms iliyomkuna sio lazima awe akitumiwa yawezekana kaisaka mtandaoni au kaifuma hata gazetini!pokea tu!kutunga maneno na sms za mahaba kipaji ati,sio kila mtu kajaaliwa!
 
Ukini fowadia tu msg kuanzia siku hiyo nakuweka pending.
 
Mtu anakutumia sms iliyomkuna sio lazima awe akitumiwa yawezekana kaisaka mtandaoni au kaifuma hata gazetini!pokea tu!kutunga maneno na sms za mahaba kipaji ati,sio kila mtu kajaaliwa!

Kwani lazima kila mtu aandike maneno lukuki?!Kama huwezi kuandika sana unamwambia tu "Nakupenda, I love you au You are my valentine" au hayo nayo ni ya kuigilizia?!
 
Mtu anakutumia sms iliyomkuna sio lazima awe akitumiwa yawezekana kaisaka mtandaoni au kaifuma hata gazetini!pokea tu!kutunga maneno na sms za mahaba kipaji ati,sio kila mtu kajaaliwa!

Mi meseji ya kudesa imekaa kimaigizo sana. Zinaboaaa! Zinawafaa wasiojitambua au kujielewa.
 
haitakiwi utunge...unaandika kwa hisia tu hata kama maneno mawili....ukiwa unatunga ujue hamna mapenz hapo unalazimisha hisia
 
Back
Top Bottom