The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
Ukijikuta kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kitu pekee kitu pekee cha maana cha kujivunia katika maisha yake ni makalio yake au muonekano wake tafadhali toka mbio maana hapo ni sawa na kujiingiza kwenye moto wa gesi.
Na mwanamke ukijikuta kwenye mahusiano na mwanaume ambaye kitu pekee anachojivunia ni ukali wake na ngono ngono na starehe tafadhali kimbia jiepushe na matatizo.
Mara nyingi ndoa zilizofungwa kwa vigezo hivyo hazijaahi kudumu,basi kila siku zina migogoro.Ndoa ndio taasisi iliyo ngumu kuiongoza kuliko taasisi yoyote hapa duniani.
Ni mtazamo tu,nawasilisha