Naombeni ushauri wana JF.
Baada ya kumtokea huyu msichana kanikataa nikaona hakuna sheeda ya kung'ang'ania nikampotezea ila cha ajabu akiniona mabinti wengine anakasirika.
Hata kama tunapiga...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya firauni, Kwa ufupi nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeoa kabila moja ila yeye ni mfanyabiashara mkubwa sana.
Anatembelea Range Rover Autobiography...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wazazi wengi wanatoa speech za kinafiki, zilizojaa uongo na uzandiki kwa vijana wao mara kwa mara. Wanasahau...
Wadau naomba kuuliza kama humu JF unaweza kumblock mtu private messages zake zisiingie katika inbox yako
Kuna mtu nilikuwa najadili naye business flani humu JF mara all of a sudden akaacha...
Kwa kawaida mwanaume huhitaji kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kuliko mwanamke, ukiona mume wako anavisingizio tele ili tu asishiriki tendo hilo.
Mara leo nimechoka sana, mara kichwa...
Miaka sita iliyopita nilikutana na binti huyu, tukafahamiana, tukapeana contacts. Off course, tulishawahi kuonana kabla katika mazingira official. Anyway, tukajikuta katika dimbwi la mapenzi...
Mim n mwanaume wa miaka 27,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati,mwenye elimu na dini yoyote.
pm ndio itakuwa rahisi kujaana nakupeana namba za simu.
Nipo mwanza
Habari za jukwaa ndugu na jamaa.
Poleni na majukumu ya kila siku, ila mwenzenu namtafuta aliyetayari kuishi nami kwa shida na raha.
Vigezo;
-Umri 32-35.
-Dini yeyote, tutakubaliana katika hili...
Wana MMU
Je kuna ukweli juu ya tabia ya huyu msichana wangu kama anaweza kuwa mke bora na mke mwenye kutunza familia na kuwa mshauri mwema kwenye masuala ya maendeleo na ya kifamilia kwa ujumla...
Hapana usimuache, may be ni one of these.
Fangasi wa candida
Hawa husababisha muwasho ukeni na kutokwa na ute mzito mweupe, ugonjwa huu unaweza mpata mwanamke yeyote ila zaidi ni wale...
Hello everyone
My name is Ole Naiki, from Endulen Ngorongoro. I'm Maasai by tribe. My father and mother all are Maasai. I have two sisters Kalulu and Zuri who are currently in DK for studies...
Katika pita pita zangu na mahangaiko ya ujana nime-expirience hicho kitu,wanawake weusi wapo na joto zuri sana huko chini,wanawake weupe lipo la wastani tofauti na wenzao weusi.
Nilikuwa napuuza sana sifa wanazopewa Wahaya
on their beauty..
Baada yakuwaona mwenyewe tena huko vijijini kwao. Nimeamini..
Kwa uzuri na muonekano wa nje, really Wahaya ni wazuri..
Rangi...
Jamani sijawahi kuwa na bwana wa kizungu, ila nasikia ni wa baridi sana kitandani na hawawezi kuhimili mikiki mikiki ya uwanjani.
Najua Paloma utakuwa usha test hii ladha ya winter. Pia na...
Habari wana MMU
NI jion hii nikiwa narudi kutoka kazini ndani ya daladala nimekaa na msichana ambaye anaonekana kujijibishana na mtu kwenye simu yake ambaye nilihisi ni mume wake au boyfriend...
Mimi ni mtumishi serikalini.Natafuta mke umri wake usizidi miaka 33.Awe dini yeyote.Angalau awe na elimu ya certificate yoyote ile.Nina elimu ya shahada moja.Sichagui kabila.
Aliye serious anipm...