Wadau naomba kuuliza kama humu JF unaweza kumblock mtu private messages zake zisiingie katika inbox yako
Kuna mtu nilikuwa najadili naye business flani humu JF mara all of a sudden akaacha kurespond. As binadamu we are not perfect inawezekana kuna mahali nilimkosea...kuna uwezekano kablock message zangu zisiingie?
Please bear with me in my ignorance, refer my joining date..I am kinda new here.
Thanks kwa majibu mtakayonipa.