Natafuta mpweke mwenzangu, mke wa heshima

Natafuta mpweke mwenzangu, mke wa heshima

DATANTA

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
34
Reaction score
12
Habari za jukwaa ndugu na jamaa.

Poleni na majukumu ya kila siku, ila mwenzenu namtafuta aliyetayari kuishi nami kwa shida na raha.

Vigezo;
-Umri 32-35.
-Dini yeyote, tutakubaliana katika hili.
-Awe mfanyabiashara au mfanyakazi.
-Awe mkarimu na mpole mwenye upendo.
-Asiwe mwembamba wala mnene sana, ila awe na mwili kidogo.
-Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
-Awe mcha Mungu.
-Kabila lolote.
-Apende siasa.
Aliye na vigezo hivyo asisite, anipm.

Nawasilisha
 
AkIwa na vigezo vyote hIvYo ila Ni mleMavu eiTheR wa NgoZi au viuNgo Vya mwilI UtamChukua?
 
Hahaha 'apende siasa',nimeipenda hiyo. Kila la kheri boss
 
Wallah ukiniambia ID yako ya siku zote,nitakwambia maamuzi magumu.
 
he he he he he acha uchokozi....mi nimependa hiyo ya awe anapenda siasa....!
Yataka moyo....lol

Sijamchokoza kweli........ila nimempenda kwa ile ingine.......ha ha......
 
Napenda siasa ya nchi mie..sio siasa ya ndoa mambo ya ahadi zisizotekelezwa hadi kifo uwe unaziacha nje ya nyumba.
 
Sijamchokoza kweli........ila nimempenda kwa ile ingine.......ha ha......

Ha ha ha...serious ana ID ingine unayoijua? Kutafuta mume sio laana jamani.....mbona iwe tabu hivyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom