DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,341
- 480
Amani kwenu wadau wa MMU,
Hivi ili swala la kukata majani yanayozunguka bustani ya utulivu kwa wenzetu wa upande wa pili wa ke nyie mnalionaje.
na hili swali linawahusu mimi zaidi.
Kwasababu unakuta kuna bahadhi ya wenzetu wa upande wa pili wao hawapendi majani kabisa na wakiona tu yanaanza kuota,basi watatafuta kafyekeo na kupunguza punguza urefu.
Lakini kuna wengine wao hawana mda huo kabisa,mpaka majani yanatengeneza kichaka badae kipori mpaka unageuka kua msitu,lakini yeye wala hata haoni shida.Mimi mwenzenu napenda sana msitu na ndo unanipa stimu.
Hebu naomba tuelezane wanamme wenzangu na tupeane uzoefu hiivi hili swala la kuacha msitu kwa upande wenu nyie mnalionaje,je linaongeza au linapunguza utulivu katika swala zima la mambo yetu yale.
Nadhani wale Magreat Thinkers wameshanielewa.