Binti1
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 668
- 1,766
Unapokuta mwanaume ana mke mzuri in all aspects (mchapakazi,mcha Mungu,mama mzuri,msafi na sio tegemezi mengine ongezea),watoto wazuri wenye afya ma amebarikiwa kua na vitu vya msingi vya kufanya familia iwe na furaha.
Lakini unakuta mtu huyu ana nyumba ndogo sio mchepuko.Nyumba ndogo ambako ana mlipia kodi,kampatia usafiri pamoja na huduma kibao za kufanya nyumba ndogo aishi comfortably and happily.
Mwanaume huyu ukiangalia familia yake ni ile ambayo wengi wanatamani wawe nayo coz it carries the meaning of "the perfect family",lakini baba ana nyumba ndogo.Anaonekana hamna mtu mwenye furaha,na yuko proud kuwa na mkewe.
He is the perfect husband and father lakini ana nyumba ndogo. Najiuliza tu kuna nini cha ziada huko small house kuwa na nyumba ndogo kwake ni hulka ya uanaume,tamaa tu,au ndio kusema anamependa kote kote.
Karibuni mnieleweshe wana jamvi