Mume kakutuoa "OUTING" kwa kinywaji and maybe nyama choma. mmefika mnakutana na washkaji wa hubby / mchepuko, hivyo mmeamua kushare meza, kama kawaida maongezi yananoga, ubishi wa kilevi unaanza...
Suala la kufanya ngono kabla ya ndoa linachangia kwa baadhi ya wachumba kutosana ingawa hili halitajwi sana na wahanga wa kutoswa,badala yake wamekuwa wakitafuta visingizio vingine.
Hii inatokea...
Mimi nimeacha kabisa mchenzo wa kuangalia picha za bongo kwa sababu ya mavazi yanayozaliwa na mabinti pamoja na mapozi na mabusu motomoto. Sababu ya kufanya hivyo kila nikiangalia huwa naumia mno...
Habari zenu wadau MMU,
Watu tumekuwa na style mbalimbali za kuonesha wapenzi/wake/waume zetu kuwa tunawapenda,wengine wamefikia hatua hata ya kutembea huku wakiwa wameshikana mikono,ila kuna...
Wakuu,
Nimekumbwa na tatizo kubwa la hisia hasa nnapopewa tunda la mti wa kati sababu ya hii kitu ni ushiriki wangu kwenye mtandao pendwa ambako nikipewa tu nasisimka.
Lakini nikirudi kwenye...
Habari wandugu,natumaini ni wazima,katika maisha yangu nilikuwa siamini kama wanawake huwa wanapenda kweli kutokana na historia yangu ya kutendwa.
siku mmoja nikiwa nyumbani kuna jirani yetu...
Habari Wanajamii Forums.
Natumaini mko poa sana.Leo nipo tena kama kawaida yangu kubadilishana mawazo na kupeana maarifa na udhoefu juu ya mahusiano ya kimapenzi.
Katika maisha kila mtu...
Kuna wasichana wa kibongo wanaabisha mno, utakuta mwanaume anaongea Kingereza basi Msichana anampapatikia.
Mi nikafikiri ni siku ile tu.
Mimi nikaenda sehemu nikajifanya mimi mtanzania lakini...
Hapa chini ni baadhi tu ya udhaifu wa wanaume wa kibongowawapo kitandani.
1. Kudandia haraka haraka bila kumuandaa mwanamke
2. Hakuna lugha ya mwili kutwanga na kumaliza kisha kugeukia ututani...
Amani kwenu wadau,
Unakutana na wanandoa ambao siku ya harusi yao walifanya shehere ya harusi ya gharama kubwa sana.Na mamilioni ya shilingi yalikatika kwa ajili ya gharama za kukodi...
Inasemakana mwanamke au dada akiitwa na mwanaume bila kujua anaitiwa nini, katika kuhisi nini anaitiwa, sababu tatu za kwanza moja itakuwa ni mapenzi. Yaani anaitwa ili atongozwe.
Je ni Kweli?
Nimetembea maeneo mengi ya pwani na miji ipitayo reki ya kati hakika kuna kitu si cha kufurahia,inaonekana hawa waarabu,wachina na wahindi ni rahisi kupata mabinti zetu kuliko wanaume wa kiswahili...
Hoja yangu ni hii wanaJF,
Hivi kuna mahusiano gani kati ya fedha na mapenzi ya kweli kwa karne hii ya 21 ya kizazi kipya? Unapata tafsiri ipi kwa mwanamke anaposema anapata/anataka mapenzi ya...
Tubadilisha busara katika hili,
Umekaa na mke wako kwa miaka zaidi ya ishirini na mmepata watoto kadhaa.Baadae kidogo unapata tatizo sugu la kukosa nguvu za kiume.
Ni sahihi kumuacha mke ili...
Za jioni wakuu
Naomba ushauri, kichwa cha habari chahusika, What can I do to interest him outside work, he works like everyday, morning to late evenings, Napenda sana bidii yake kama mwanaume...
Nimekuwa najiuliza kuwa ni umri gani mwanaume inamlazimu kuoa au mwanamke inabidi kuolewa? Literally najua hamna miaka maalum.
Lakini kuna wakati watu wanaokuzunguka wanaanza kukunyooshea vidole...
Kuna mdada ana mtoto wa miaka mitano ila walishaachana na baba wa huyo mtoto kama miaka miwili iliyopita. Kaja kupata jamaa ambae ni mpangaji mwenzake wakaanza mahusiano.
Walikuwa na mahusiano...
1. Habari zenu humu jukwaani!
2. Habari zenu masingle lady wote!��
3. Habari zenu ma single boys wote ambao mnaharibu mabinti wawatu mahusiano miaka 5 na hakuna hata dalili ya...
Ni miaka mi 5 imepita tokea alivonisaliti na kuamua kuniacha binti huyu mrembo. Ni wiki sasa tunawasiliana na kukumbushana mambo ya zamani na jinsi tulivokuwaga wapenzi, ndio maana hata juzi...