Naomba ushauri plz

Naomba ushauri plz

Ideas Vuitton

New Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Hlw habare zenu wakubwa heshima kwenu n madogo mambo vp mm ni kijana mwenye miaka 22 siku moja wakati npo mtaani nikakutana n binti ambae nilivutiwa nae n nikamuomba namba yke akanipa then tukaanza kuwa close nikamtongoza akanikubalia so tukawa wapenzi nikashangaa baada ya siku chache tu akaanza kuniomba hela nikampa mara oooh! bby unitumie hela nijiunge kifurushi cha wiki nikampa cha ajabu tangu nimempa hela ya kifurushi wala hanitafuti kabisa mpaka mm nianze sometimes nikimpigia anakata n akipokea nikimuuliza mbona unakata simu yngu anasema hajisikii kuongea n mm sasa hv kweli kuna mapenzi hapo au tunapotezeana muda tu je niachana nae au niendelee kumvumilia??? naombeni ushauri plz ndugu zngu
 
soma kwanza!
pia muwe mnatafakari kabla ya kuposti humu. sasa unataka ushauriwe nn hapo??
 
Hlw habare zenu
wakubwa heshima kwenu n madogo mambo vp mm ni kijana mwenye miaka 22
siku moja wakati npo mtaani nikakutana n binti ambae nilivutiwa nae n
nikamuomba namba yke akanipa then tukaanza kuwa close nikamtongoza
akanikubalia so tukawa wapenzi nikashangaa baada ya siku chache tu
akaanza kuniomba hela nikampa mara oooh! bby unitumie hela nijiunge
kifurushi cha wiki nikampa cha ajabu tangu nimempa hela ya kifurushi
wala hanitafuti kabisa mpaka mm nianze sometimes nikimpigia anakata n
akipokea nikimuuliza mbona unakata simu yngu anasema hajisikii kuongea n
mm sasa hv kweli kuna mapenzi hapo au tunapotezeana muda tu je niachana
nae au niendelee kumvumilia??? naombeni ushauri plz ndugu zngu

mwanafunzi kama wew upewe ushauri gan tofauti na kusoma????? acha utani aiseee
 
22 big piga shule kama bado upo shule....unaogopa kuhonga ya kifurushi cha wiki wakati wenzio wanahonga nyumba kabisa na waliowahonga wakija wanaishia barazani!
 
Hlw habare zenu wakubwa heshima kwenu n madogo mambo vp mm ni kijana mwenye miaka 22 siku moja wakati npo mtaani nikakutana n binti ambae nilivutiwa nae n nikamuomba namba yke akanipa then tukaanza kuwa close nikamtongoza akanikubalia so tukawa wapenzi nikashangaa baada ya siku chache tu akaanza kuniomba hela nikampa mara oooh! bby unitumie hela nijiunge kifurushi cha wiki nikampa cha ajabu tangu nimempa hela ya kifurushi wala hanitafuti kabisa mpaka mm nianze sometimes nikimpigia anakata n akipokea nikimuuliza mbona unakata simu yngu anasema hajisikii kuongea n mm sasa hv kweli kuna mapenzi hapo au tunapotezeana muda tu je niachana nae au niendelee kumvumilia??? naombeni ushauri plz ndugu zngu

ushamaliza homework ulopewa skuli? ...naona maswali ya chemistry yanakuchanganya dogo
 
Hlw habare zenu wakubwa heshima kwenu n madogo mambo vp mm ni kijana mwenye miaka 22 siku moja wakati npo mtaani nikakutana n binti ambae nilivutiwa nae n nikamuomba namba yke akanipa then tukaanza kuwa close nikamtongoza akanikubalia so tukawa wapenzi nikashangaa baada ya siku chache tu akaanza kuniomba hela nikampa mara oooh! bby unitumie hela nijiunge kifurushi cha wiki nikampa cha ajabu tangu nimempa hela ya kifurushi wala hanitafuti kabisa mpaka mm nianze sometimes nikimpigia anakata n akipokea nikimuuliza mbona unakata simu yngu anasema hajisikii kuongea n mm sasa hv kweli kuna mapenzi hapo au tunapotezeana muda tu je niachana nae au niendelee kumvumilia??? naombeni ushauri plz ndugu zngu

mpaka umapata akili ya kuandika hivyo naamini jibu unalijua ila unataka tu utusikie, haya kifupi HAKUPENDI. na hakuna mapenzi.pili huo umri wako ni wa kuwa shule kasome.
 
Alafu hawa ndo wanataka baraza la vijana wabunge mnapoteza kodi zetu kudiscuss baraza la vijana vijana wenyewe ndo hawa kweli tunasafari ndefu sana
 
Muweke ndani kabisa ndo akome
 
Back
Top Bottom