Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau, Joka jinga ni rafiki ambae tumekua nae toka utoto,alikuwa mtundu sana akiwa mdogo kwenye miaka 11 aliwahi kufanya mapenzi na mtoto wa bibi yake mdogo, mtoto wa mdogo wake na bibi mzaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu, naombeni ushauri, maana hii sasa imekuwa too much, sijui ni baati mbaya au nzuri, maana wapenzi wa marafiki zangu, huwa mwishowe huishia kuwa wapenzi wangu, maana mpaka sasa nina mpenzi wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hongera sana wanawake wetu,kuwa ndani ya kumi bora Afrika kwa uzuri si haba.Habari hii inapatikna gazeti la mwananchi la jumapili ya tarehe 22.marchi 2015 limenukuu toka mtandao wa Ofrojuju...
1 Reactions
86 Replies
21K Views
Hi guys mi ni kijana age 32 nemechoka kukaa mwenyewe nahitaji jiko now nipo mwanza ni mwajiriwa wa serikali.sichagui dini wala kabila aliye tayari. Tuwasiliane PM please.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani Nabisha hodi mm mgeni kwenye Jukwaa hili ingawa nimekuwa nasoma mara kwa mara Jukwaa hili ninafurahishwa sana na maada na michango mbalimbali ya wana Jf.Bila shaka mtanipokea nategememea...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Huu uzi nimeuweka mahususi kwa ajili ya wanaume kuwaeleza wanawake ukweli kuhusu tunavyochukulia muonekano wao.Kwa kawaida wanawake wanaweza kuwa natural kwa maana hawaongezi chochote kwenye miili...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Mimi nipo kanisa la pentecoste Ruaha Kilombero, umri miaka 28, niambie kanisa ulipo nije tuonane wala hatuta ongea na kupatana humu Jf. Mungu akubariki
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta binti wa namna hiyo tufurahie maisha anipm tuongee zaidi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niko mwaka watatu katika chuo fulani,sasa kuna dada nasomanae ametokea kunipenda sana,kila wakati anataka tuwe pamoja,tukienda kusoma kama ninamaji yachupa tuna share. Mara anikumbatie,mara...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu. Je nilikuwa natoka na ma girlfirend wasio na viwango vya uzuri na u wife materials? Au baada ya kupigana chini, hawakupata Mcharo mtamu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani wana jamvi naomba ushauri wenu, Kuna dada nilikuwa na mahusiano nae na tukakubaliana tutaoana tukimaliza chuo. Kwa bahati mbaya yeye kakwama kuendelea na chuo.Hivyo kaamua kupotezea...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Amani ya bwana iwe rohoni mwenu, Ijumaa kuu leo.) Wanaume mnanishangaza sanaaaa, it took me years just to...
16 Reactions
47 Replies
8K Views
najiuliza hili swali,maana kila siku humu MMU malalamiko hayaishi, mara sijui utasikia,mpenzi hanifikishi,mara mpenzi mchafu,mara kanitenda,mara kachepuka,mara mbahili,mara .......... hivi kuna...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba kujulishwa hivi ni kwanini wanaume wengi wao hawawezi kutongoza bila kuzungumza uongo? Mara nyingi wasichana wamekuwa wakilalamika kuwa vitu wanavyoambiwa wakati wa kutongoza...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Nina umri wa miaka 29,nina elimu ya Shahada,mkristo.Natafuta mchumba awe na umri wa miaka kati ya 20-27,mwenye upendo wa dhati,mcha Mungu(Mkristo) mengine tutayajadili baadaye. Kama unavigezo na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ndugu zangu wataalamu wa kuogelea wa watakubaliana namimi kwamba utalaamu wao umeshawapa papuchi za kutosha. Hii ni kutokana kwamba wasichana wengi wanaenda beach lakini hawajui...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
habari za wakati huu nduguzangu wanajf especially members wa hili jukwaa? Kwanza kabisa poleni kwa uchovu kutokana na mihangaiko ya kutwa nzima ya leo!,jamani nduguzangu mimi ninarafikiyangu wa...
0 Reactions
78 Replies
9K Views
jana katika kupumzisha akili nilikuwa na gal wangu sehemu,nilichokiona sikuamini macho yangu.ni shemej yangu yupo na bwana mwingne tena kabeba na mtoto mdogo wakiingia nyumba ya wageni bila...
1 Reactions
103 Replies
10K Views
Mimi Ni Mtumishi Wa Mungu Na Ni Mchungaji Mtarajiwa, Ninatafuta Mke Mwema Wa Kuoa. Vigezo Awe Ameokoka Kwa Muda Usiopungua Mwaka Mmoja, Awe Anaabudu Makanisa Ya Kirohn, Awe Tayari Kuwa Mama...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wadau wa JF, Naomba msaada wa kitaalamu na hekima hapa,Kuna ubaya wowote kua katika mahusiano ya kimapenzi na kutaka kuoa kabisa mwanamke ambaye amekuzidi umri? Kuna athari zozote hapo? Naomba...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…