Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dada zangu wa Jf, nataka niwasadie. nimeona kuna watu wapo kwenye mahusiano kwa miaka 3 na zaidi na kisha bado wanasema "nakupenda" sio kweli. Kwa mtu mwenye upendo wa dhati na wa kweli kama mimi...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Ni jambo la kawaida wanandoa kuwa katika tafrani ya kukinzana katika kauli kutokana na wivu ugoni, malezi, matumizi ya rasilimali. Lakini la kusikitisha wanandoa huishia kutangaza mambo yao ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Love and Infatuation ni hisia unazojisikia kuhusu mtu fulani.Hisia hizi mara nyingi zinachanganywa kwa watu wengi lakini tukumbuke hisia hizi zipo tofauti kimapenzi,kinguvu na matokeo ya mwisho...
21 Reactions
125 Replies
15K Views
About three months ago nimehamia katika nyumba moja na baada ya kusign mkataba na mambo kama hayo, Father house alichoniambia cha kwanza ni "Ndugu, hivyo vyumba vya nje kuna wanawake wawili, kama...
5 Reactions
32 Replies
7K Views
Namaste, Tahadhari! Mada hii ina ubazazi mwingi! CAVEAT EMPTOR! Buyer/Reader be aware! Kama hupendi ubazazi usisome tu!. First lady wa MABAZAZI.COM nataaharisha mapema. well starehe gharama...
11 Reactions
71 Replies
9K Views
Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha...
6 Reactions
50 Replies
9K Views
Simuamini wala simpendi tena mwanaume wangu nimekuwa nae katika mahusiano huu mwaka wa3 sasa aliniomba anioe nikamkubalia. Tatizo likawa upande wa dini kwakuwa nilimpenda sana sikuona tatizo...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
From my own adventures & experiences, and a little study i've conducted, it seems every straight man, at some point(s) in his life, does make a decision that's influenced by his Penis, one way or...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Ni kweli yametokea na mimi nikiwa shahidi kwa msichana ambaye aliingia kimapenzi na mwanaume mstaarabu na heshima zake na yote hiyo kwasababu alitokea majuu. Juhudi zote za wazazi na ndugu wa...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Mpenzi wangu kanirusha roho kuwa ni mjamzito baada ya majadiliano ya kama siku 2 kuwa eti ananiomba aitoe na kumkatalia.Baadae anasema hakuwa mjamzito ila alinipima tu! dah sijaelewa kabisa kwani...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Natafuta msichana wa kubadilisha nae mawazo ila awe 29+ kuna mambo nataka kujua kabla sijaingia katika ndoa watoto please dont.
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Nilikua na girlfriend wangu tukiwa tunamipango ya ndoa enzi hizo sina kazi,nikapata kazi mbali na nyumbani nae still akiwa anasoma, tulipanga anitembelee huku nilipo baada ya field kuisha...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Leo nimeletewa malalamiko na dada mmoja anayeishi nyumba moja ya kupanga na yanamhusu mama mmoja ambaye ni mpangaji mwenzie huyu dada akiwa na shida lets say mkaa,chumvi,sukari akienda kumwazima...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Salaam wakuu, Jana katika pita pita zangu nikitokea ofisini nikapanda daladala ya kurudi home,njiani kulikuwa na foleni kidogo na kuna gari ndogo ilikuwa inataka kuingia barabara kuu...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Jamii forums ni jukwaa kubwa sana na maarufu hapa Tanzania. Linakutanisha watu wa kila namna kwenye eneo wanalolipenda. Natoa ushuhuda wa watu waliokutana huku JF kwa muda wa mwaka mmoja uliopita...
7 Reactions
51 Replies
5K Views
Mke alimuomba mume ampe lifti mpaka kwenye sherehe ( kitchen party, mume akasema yuko busy ofisini ila akampa hela ya taxi. Alipofika kwenye sherehe akakutana na msichana mrembo wakazoeana na...
6 Reactions
99 Replies
13K Views
Mke wangu namtafutia dawa ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa,maana amekuwa hana hamu kabisa ya kufanya tendoa landoa. Kwa anayejua njia ya kuongeza.
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Kwa wale waliosoma somo la Biology mtakumbuka ile topic ya coordination na kile kisa cha mtu kuona simba, ukiona simba mwili unapata nguvu ya ajabu kupambana na Simba, ama utapata nguvu ya...
4 Reactions
61 Replies
13K Views
Inferiority complex ni moja ya matatizo ya kisaikolojia ambapo mtu anajiona na kujifikiria kwa kujiweka nafasi ya chini kwa kujilinganisha na watu wanaomzunguka ambao yeye anadhani kwamba wao ni...
5 Reactions
55 Replies
13K Views
Nimeipata hii huko whatsap nikaona si vibaya nikawashirikisha wana familia wa MMU
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…