Natafuta mchumba/mpenzi wa kike,miaka 18-23 JF

ana mke msomi hajui kupika hata kukata kitunguu hajui ha ha ha

Alaaaaaaah!!!! Umenikumbusha...Inavyoonekana wameshaachana na jamaa kwa sababu alisogezewa sasa imekuwa vigumu kung'oa mwingine ndio maana anataka Kaserengeti girl kasiko na maswali mengi... Naaminia sana back up yako ya ubongo my dada... Shem kapata jembe
 
ha ha ha kumbe alisogezewa...make nakumbuka mara ya mwisho wife alirudi home saa saba za usiku kisa foleni lol
 
Haaaaaa aaaaa haaaaa mkuu chaji imeisha mbona upo kiufup zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom