Je, wajua?

Je, wajua?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,267
Reaction score
25,556
People who have a TV in their bedroom have 50 percent less sex than who don't.Although average of times a man will ejaculate in lifetime 720.
 
Mkuu hiyo average mbona ndogo sana..? 720 in lifetime???
 
Mkuu ray lee..
Unaweza kugawq hapo kwa mwaka na kujua kila mwaka unaenda mara ngapi kwa siku, hilo jibu alitakuwa ndiyo kila siku una ejac... maana kuna kpnd hata mwezi unaisha huja ....
 
Mkuu hesabu zangu zinanambia kwa mwanaume aliyekamilika hizo ejaculations 720 anaweza kuzifikia ndani ya 1-3 yrs..
 
Ahahahaaaa, hiyo utakuwa unafanya daily diet menu?

Kwa afya huwezi fanya as if chakula maana hii kitu wataalam wanakwambia unatumikaje uwapo faragha, na si kuhitimisha ili mradi umetimiza wajibu.
 
mkuu labda unisaidie ww..kiafya mtu anatakiwa kufanya mapnz mara ngapi kwa wiki?..na ktk kila tendo kiafya anatakiwa kwenda round ngapi?..labda tuanzie hapo
 
Asante, twende pamoja.
Nitaelezea kiAfya kidogo na hii ni kwa wanandoa tu kama hujaoa, MARUFUKU kutumia hii.

Tendo la ndoa hakika uwaleta karibu watu wawili (couple) na hili ufanya watu hao kuwa na upendo na kuwafanya kusahau matatizo mengine.
Hivo basi kama mnakutana mara mbili hv kwa wiki ni vizuri, na hii inaweza kuwa ktk utaratbu maarum, siyo unakurupuka huko na kutaka noooo!.

Pia kuna jambo la HESHIMA na AFYA ambalo wengi hamlijui kwa sababu siku hz mnajfundsha wenyewe siye wazee wenu mnatuona tumepitwa na wakati ni hii hapa, unapofanya tendo husika kwa ustadi wa hali ya juu unaweza kumfanya mwenzi wako kufika kwenye kilele cha kibo na wewe kujizuia ili kupata ustadi.

Na si ustadi tu ila pia kama unajizuia kutoa manii, hii ifanye katika hali ya kuacha kabisa kuzitoa ilihali mwenzako kamaliza, kwa wewe mwanaume itakupa Afya na Nguvu maradufu pasi kujua, kiafya mwili wako utajitengenezea UWEZO wa kujiamini.

ANGALIZO:
Kuna maumivu yanayo jitokeza endapo hutamaliza lakini haitajufanya kuumia as long.
Ondosha akili/mawazo kutoka pande hizo kwa kufanya kazi na shuguli busy.
 
na katika hizo mara mbili unapiga bao ngapi kwa kila tendo?
 
Ahahahaaaa, nyie vijana wa NEW AGE mnapenda sana hizi habari ili mkazitumie kwa watoto zetu wa kike eeh?
Nadhani nimekueleza hapo juu kila kitu, haikupasi kufanya ni mlo hiyo ray lee!.
 
babu hizo mara 720 ni chache sana..ndo mana nakuuliza maswali ili nikupinge kwa hoja zako mwenyewe
 
Cost

Nashukuru kuona unanipinga kwa hoja iliyopo, ila WAKOLONI (wazungu) hawa walipotushirikisha ktk utafiti huu walikuwa na sababu na kwa upande mwingine tulifanya utafiti kulingana na muda, wakati, kipindi na maeneo.

Hivo kuna muda kama mimi nilitaka kupingana na wenzangu ika baadaye nilielewa, ila kwa mtazamo ulio nao wewe ni kweli hiyo ni chache sana, ila hapa kimezungumziwa kitendo cha kufika kilele cha kibo, si kwenda tu mpaka ukahisi kifo Noooo, ni kitendo cha kutoa tui la nazi.

Na ndiyo maana kama ungekuwa nami kwa comments zlzopita nilieleza kuhusiana na orgasm, that was main point.
Kama ni ejaculation + orgasm aah mbona hiyo 720 ni ndogo..!!
 
Back
Top Bottom