Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sikia hii halafu tafakari? Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Housigeli’ anataka kuniharibia ndoa Anti/kaka jamii habari yako. Nategemea mzima wa afya na hutasita kunisaidia kunipa ushauri unaonifaa. Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili. Tangu nimeolewa...
0 Reactions
90 Replies
13K Views
Wasalaam, Usiombee uwe na ugomvi na mwanamke au mke wako, hizo ngumi zao wanazovyo zikunja na kuanza kuzirusha hovyo hovyo unashangaa tu za uso, mara kachukua mwiko kakutandika ya bega tofauti...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooo! Disclaimer. Leo jumapili chonde chonde nipo kwenye Sabato, msinikwaze. Mada ya leo ni CAVEAT EMPTOR OR BUYER BE AWARE! Title iko very direct! Sasa basi...
19 Reactions
128 Replies
14K Views
A m a boy of 26 years old. Kama ukointerestedi njoo PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina mke mpaka sas 2na miaka 4 kwenye ndoa.ila chakushangaza anachoka mapema raund moja anakuwa hoi.wakat mim nakua bado
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Habari zenuni wakuu, Naomba kujua hivi ni kwanini kesi nyingi za kutokuzaa/ kushindwa kushika mimba au ugumba wanawake ndio huwa watuhumiwa wakwanza? Hasa kwa walio katika ndoa,it mean that we...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wasalaam, Mama kuna umri ambao bint yako akifika basi na wewe inabidi ujifunge kubeba mimba maana kitakacho kuja kutokea huko ni aibu kwa mama. Binti ana kichanga mama ana mimba matokeo yake...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
There are lots of good reasons to stay single. At first you may think that staying single isn't a good thing, but there are few things you should consider, well 140 things to be exact. This is a...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wana jamvi, Tatizo la wanawake kulalamika na kukimbia kwenye vyombo vya usalama na habari kuelezea namna ambavyo wamezalishwa na wanaume kisha kuwaachia majukumu ya kulea familia limekuwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
WASWAHILI wanasena uchungu wa mwana aujuae mzazi, lakini kwa mama yetu ilikuwa kinyume. Sikuamini mama yetu mzazi kuwa chanzo cha matatizo ya familia yetu, pengine hata mimi kushindwa kufikia...
23 Reactions
399 Replies
177K Views
Je, hii ni kawaida kwa wanawake wote? Kuna sababu zozote za Kisayansi au za Kisaikolojia zinazoweza kumfanya mwanamke awe katika hali hiyo? Katika hali kama hii ni kweli kwamba ananipenda. Wadau...
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Ebu tuelimishane jamani kwa maadili yetu sisi wafrika ni sahihi kweli bibi harusi kukata mauno mpaka chini siku ya harusi tena mbele ya wakwe zake? Jambo hili ni sawa wakuu.
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Habari za kazi wana jamvi wenzangu, Najitokeza hapa kumtafuta mwanamke ambaye tuje tuwe na malengo ya kujenga ndoa yetu.Mimi ni muajiriwa wa serikali na sijawahi kuoa na wala sina mtoto ndyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukitafakari sana utagunda wengi wetu tumebaka ama kubakwa bila kufahamu. Kubaka ni kitendo cha dushe kuingia kwa kiwango chochote katika papuchi bila ridhaa ya mhusika. Sasa ridhaa hapa ni pamoja...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu, Michepuko imeshika kasi sana na linazidi kushika kasi kadri muda unavyosonga mbele, nini kifanyike kati ya haya; 1. Wanaume waache tongoza tongoza hovyo 2.Wanawake kuwa na misimamo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wasalaam JF, Hii kitu nimeishuhudia kwangu mimi mara kadhaa na hata kwa baadhi ya washkaji waliokuwa kwenye relationships na girls kadhaa. Unaweza uka date na msiichana flani na akawa amekufa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
1. Mkanye mtoto wako wa kike na hata wa kiume kuhusu kukubali kupakatwa hovyo, bila kujali ni nani anampakata, hata kama ni mjomba wake. 2. Usivue nguo mbele ya mwanao pindi akifikisha miaka...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Unaweza uwe unataka kumuoa anakukatalia au kukusumbua eti ana mtu wake, kumbe huyo anayedai ni mtu wake hana hata nia ya kumuoa. Akishachezewa vya kutosha au kuumizwa na huyo mtu ndio anakuja...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Wana JF, Tendo la ndoa mwisho wa siku huitimishwa kwa me/ ke kupiga mshindo (ejaculation). Ni kitendo ambacho hakizidi sekunde kumi na tano. Vipi kama kitendo cha kupiga mshindo kingechua walau...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…