Mimii ni finalist wa chuo flani hapa hapa TZ, nina girlfriand wangu hapahapa chuoni but ishu inakuja pale anapokuja kunitembelea room, maana kuna jamaa nakaa nae hapa (roomates) huwa simueliwi...
Habari wanajamii,
Mara nyingi kumekua na dhana kwamba hali ya maisha, hasa kiuchumi hutegemea na mwanamke uliyenaye. Utasikia mtu analinganisha nyota kwanza au kwenda kwa sangoma kujiridhisha na...
Ku cheat ukiwa kwenye uhusiano ni uamuzi binafsi. Personality ya mtu ndo ina define how loyal atakua na sio circumstance ndan ya uhusiano wake. Kuna watu no matter ugumu wa uhusiano na misukosuko...
Ninashindwa kuelewa kabla ya kujifungua tulikuwa tunaenda vzur hasa kwenye mahusiano, nilipohitaji alinipa kwa wakat na yeye nilimpatia, tatizo lilianza baada ya kujifungua kwan kila wakati anadai...
Sina maneno ya kusema zaidi ya kusema huu ni "ugonjwa hatari" kama sio "janga" la taifa. Sio Pwani wala bara, sio uswahilini wala "ushuani", sio kwa walala hoi wala walala hai, si kwa watumishi wa...
Lakini mwanamke amefanya hivyo.
Sikia nikuambie, KUMSIFIA mwanamke, kuna nafasi kubwa sana kwake. Chunguza kwa makini, hata kunapokuwa na mgongano katika familia, halafu wakatokea wageni, baada...
Habari wadau,
Jana tena kama kawaida kwenye vyumba vyetu vya kupanga visivyo na ceiling board wala gypsum inayosaidiaga kujisitiri na faragha haswa nyakati za usiku uliotulia tukasikia vimbwanga...
Hello,
Hizi ni baadhi ya (arguing technics) zikitumika vizuri husaidia kuepusha mizozo isiyo ya lazima ndani ya ndoa.
1. Usipayuke/kufoka. Unapo-argue na mwenza wako don't speak out of tone...
Habari za asubuhi mabibi na mabwana,
Ufuatao ni mfululizo wa maandalizi ya harusi mpaka harusi yenyewe, katika mada hizi tutaangalia ni nini kifanyike na ni nini kisifanyike katika maandalizi...
Habari zenu wana Jamvi,mbele yenu ni mwanajavi mwenzenu baada ya kusoma sana na kuona jinsi gani mlivyo na moyo mzuri katika kutoa ushauri, nimeona nilete tatizo langu mnishauri.
Mimi ni kijana...
Dada wa kazi Mkoani Dodoma amemwambukiza mtoto wa tajiri yake HIV. Mtoto huyo alikuwa na umri wa miaka mitatu.
Alikuwa anachanganya uji wa mtoto na hedhi yake.
Chanzo: The Guardian
Maoni...
Jumatatu nyingine ambayo tunakutana tena katika kilinge hiki cha XXLove tunachokitumia kuelimishana masuala ya mapenzi. Katika suala la uhusiano wa kimapenzi ni vigumu sana kujikuta mwanamke na...
Amenidump kwa mara ya pili. Nilikiuwa na mahusiano na mwanaume huyu kwa miaka mitano kabla hajaniacha na kwenda kuoa. Nilipoteza mawasiliano nae kabisa na kumfuta kwenye moyo wangu. Ndoa yake...
Wakuu,
Kuna binti kazini niliamua kumuacha kwa tabia zisizofaa, tumekua na relationship nae kwa miaka mitatu. Nikapata msichana mwingine pale pale kazini ambae ametulia sana na ni wife material...
Kama mtakumbuka siku kadhaa zilizopita niliwapa ule uzi uliokuwa na sharti zito kutoka kwa wife kwamba:- kama haujaenda kupima UKIMWI basi hautaingiza hilo dubwasha lako humu.
(Akiwa na maana...
Leo ni siku maalum ya Mama, kwa heshima na taadhima nikiongozwa na "unyenyekevu mkubwa" napenda niwapongeze kina mama wote. Ni magumu mengi mmepitia ili kutusaidia sisi (jamii) kufika hapa tulipo...
Zifuatazo ni dalili za mwanaume asiye na pesa;
1. Kila siku appointment zake yeye ni gheto kwake au anang'ang'ania kuja kwako, hakuna hata kwenda beach wala hotelin.
2. Siku ukiwa unaenda kwake...