Naomba ushauri

Naomba ushauri

Sasa kama hajatulia wewe inakuhusu nini?

Wewe kama una uhakika hamfai basi subiri waachane ndo ujipeleke
na hata ukijipeleka hakuna uhakika kuwa atakuoa au takupenda the same
kuna risk ya 'kuliwa' halafu jamaa akaenda kuoa 'kimeo 'chake vilevile
 
Biashara za wetu wengine zinakuhusu nini?

Wakati unasubiri matokeo ya form six, endelea kuomba Mungu ili yawe mazuri acha kuwaza ngono
 
pryanka

Wait for miracles people do believe in being lucky but pray for blessings..!
 
Last edited by a moderator:
Wewe kinachokusumbua ni wivu na mbaya zaidi inasikitisha why umelegeza hizo gidamu zako za kujifanya mchunguzi wa bata? Ushafall in love kwa hicho kimjamaa na hujui ni kiasi gani hao watu wanapendana.
Umehama kwenye uchunguzi wa Mume/mchumba mwema sasa unajifanya mdukuzi wa mahusiano ya wenzio
Ushauri wangu: kama kitumbua yako ipo kwenye high temperature sana basi kipe kimjamaa kiishushe then ukishatendwa ndo utajua Mume mwema anatoka kwa Mungu.
 
kama hajatulia we inakuhusu nini, au unataka umwambie jamaa amuache we uchukue nafasi........we achana naye kama vipi jisogeze kwa jamaa u take over sio kuangalia yule,,,,hajatulia labda jamaa ndio anapenda type hizo
 
Hello...guys I need ur help
Nlivyokua nasoma sikutaka kujiusisha na mapenzi..ingawa nlipata challenges nyngi nashukuru mungu nkamalza had form six bila shida..baada ya shule I real wanted niwe kweny mahusiano ,kila aliyentokea kabla cjamjib nlimchunguza..almost wote ckupata nnae mtaka..as days went on,nkakukutana na mtu ambae nahisi ndo nliyekua namtafuta ,ajanitokeana wala hatujazoeana ,nlitokea kumpenda kiukweli,nkaamua nimchunguze, kwa uchunguz wangu nmegundua ana mchumba ambae ni jirani yetu...nliamua nmuachie huyo dada lakini cha kushangaza huyo dada ajatulia..nifanyaje??

Ww hilo ni pepo, acha kabsa. cha msingi rudi kwnz kanisani na mungu atakupa mume mwema, la cvyo jiandae kuwekwa matara
 
aisee kwani jamaa kakuambia anataka aliyetulia??????????????
 
Muharibie mwenzio umteke Jamaa, hakuna namna nyingine....
 
Mtoto wa kike Ukiwa desperate lazima utagongwa tu na kuachwa, Maana Hamna namna nyingine (In mizengo Pinda's voice)
 
Kwaiyo unatakaje labda??????

Waache na mapenzi yao ukitaka na wewe jitumbukize kwenye bwawa muogelee wote.
 
Kweli dunia inaelekea ukingoni,yani imefikia mpaka mwanamke anajipeleka mwenyewe kwa mwanaume ili tu araruriwe papuchi yake!
 
Kuchelewa kuwa na mpenzi kuna madhara. Mleta mada ametuthibishia. Anayebisha arudie tena kusoma uzi wake.
 
Ndo kanipenda hivo hivyo sijatulia na nimeshakujua sasa nikuone unajisogeza kwake na kwangu sitaki ujirani wala urafiki nawewe.......et sijatuliaaa! unadhani navyosemaga namichepuko ni kweli shoga?? zile ni stori za kunogesha kijiwe shoga
Na kwataarifa yako mwezi ujao wanaleta posa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom