Habari zenu wana Jamvi,mbele yenu ni mwanajavi mwenzenu baada ya kusoma sana na kuona jinsi gani mlivyo na moyo mzuri katika kutoa ushauri, nimeona nilete tatizo langu mnishauri.
Mimi ni kijana wa makamo ya wastani na ifae kusema ilibidi niwe na familia yangu yaani nimeoa,kwani Nashukuru Mungu najimudu kimaisha.
Mama na baba yangu wamenishauri sana kuhusu hilo na mwaka jana nikapata binti nikatoa posa lakini bahati mbaya hatukufikia kufunga ndoa kwa sababu ya kukosa uaminifu kwa mwenzangu ikabidi nivunje uchumba,ilikuwa ngumu kidogo kueleweka kwenye familia yangu lakini baadae walinielewa.
Ilipita muda kidogo nikampa binti mwingine..hapa ndio penye tatizo. Wiki mbili zilizopita nilitoa taarifa kwetu kuwa naitaji kuoa familia ikataka kumjua huyo mke mtarajiwa bahati nzuri ni binti wa karibu na familia yetu,wazazi wangu hawakuwa na pingamizi kwa kuwa ni familly friend wakasema watanisapoti.
Siku 2 baada ya taarifa hiyo ya kuoa nikaumwa vibaya mno mpaka macho yakawa yanakosa uwezo wa kuona vizuri nikamjulisha huyo mke mtarajiwa akanishauri niende hospital,"yeye anakaa mbali kidogo na mimi lakini ni mji mmoja "
Nimeumwa kama siku 4 hivi hajaja kuniona na siku ya 5 nikaenda kumtembelea nilipomuuliza vp mbona hujaja kuniona mwezio wakati wewe ukiumwa mimi hata nusu saa haiishi nakuwa hapa,alichonijibu eti yeye alizani siko serius ndio maana aliishia kunipa pole kwenye simu tu,
Sasa juzi mzee kanipigia simu kuwa anatuma washenga ili taratibu za kuoa zianze.
Napata kigugumizi kutoa go ahead kwa mzee kwa kuwa naona binti ni kama hajari kwa sababu tunaweza kukaa mwezi mzima tusionane na tunaishi mji mmoja na nauri hata 500 haifiki kisingizio ni kazi inambana lakini kwenye hili la kuumwa alikuwa na kalikizo na hakuja.
Je pana mke hapa au ndio nakula mkenge.