Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nna rafiki Yangu anatia huruma, aliolewa mwaka Jana mwezi wa 9 mwaka huu mwezi wa 2 baba Mkwe wake kaja kuishi nao, kibaya zaid wanachumba na seble tu mwanzo alikuwa analala gest Mume gharama...
0 Reactions
77 Replies
10K Views
Habari, Katika soma soma yangu mtandaoni, nimekutana na hii makala, kwa yule ambaye hajawahi kuiona na kuisoma inaweza kuwa msaada kwake kwa namna fulani. Kwanini ndoa nyingi leo zimejaa...
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Wakuu naombeni msaada wa mawazo tafadhali..nilipokua kidato cha sita kuna binti nilimpa mimba na yeye alikua kidato cha sita bahati nzuri akafanikiwa kufanya mtihani wa taifa akiwa na mimba bila...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Wakuu natumai ni wazima, Wakuu nipo depressed and lonely kutokana na some fuckups i did,nimekua mda mwingi nashinda jf nikaona ngoja nijaribu maybe ntapata rafiki ambaye yupo katika situation...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau wa MMU, Katika safari yangu ya mahusiano nimebahatika kujifunza mengi yanayotokea ndan ya mahusiano na nje ya mahusiano,Napenda kuongelea zaidi katika tendo la ndoa.Wanaume wengi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hellow wapendwa wangu, Leo ningependa tuongelee kuhusu subira.Kama wahenga wetu walivyosema subira huvuta kheri. Wanaadamu tulivyoumbwa ni viumbe wenye parapara na tuko katika matabaka...
10 Reactions
27 Replies
4K Views
last time I was with my girlfriend, she broke up with me. I know it was my fault. I really did something to really piss her off. Yet, I have totally let go of it. Now, I need help getting my ex...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
# KAPIMWE AKILI # 1. Kama wewe ni kijana na una nguvu za kutosha ila kila cku unailalamikia serikali kuwa ajira hakuna, pumbaff kapimwe akili. 2. Kama wewe ni mwanachuo na huna strategies...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna dada tunaishi naye mji mmoja na huwa siku zote naogopa kumueleza hisia zangu jinsi alivo ni yupo serious mda wote, nampenda sana. Katika pitapita zangu jana nikakutana nae nikafanikiwa kupewa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Kuna watu humu hawana wenza. Namaanisha hajaolewa au kuoa na hawana wapenzi wa kuaminika au wa kudumu.Sasa kwanini wasitafute humu wachumba ili kumaliza tatizo?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tusiharibu MMU, Nikiwa mdogo nilisimuliwa story ya mlevi aliyekuwa anapiga kelele kijijini kila siku akitoka kulewa, Nakufaaaa, Nisaidieniiii, fisiiiiii, simbaaa,weziiii, nabakwaaaa, nk nk. Watu...
12 Reactions
34 Replies
4K Views
Napenda kuuliza kwanini wanaoleta thread wengi kwenye hili jukwaa huwa ni wanaume? Wanawake wengi wanakuwa wanaona aibu au inakuwaje? Hebu mwenye mawazo yake tafadhali atupe hapa.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau naomba kujua naweza pata wapi gauni za namna hii pamoja na shela,maua,na vitu vyote vinavyoenda na gauni EITHER KWA KUNUNUA AU KUKODI Nb.si kushona
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari wadau, Msikilize Mchungaji akitoa somo kuhusu "Uzuri na Ubaya wa Mtu" "Hakuna mtu mbaya,ukiona mwanamke anasumbua duniani basi ujue amechukua sura ya baba, nakupa siri wewe unahitaji hela...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni msichana nna wachumba wawil mmoja ni mfanyabiashara Dar na mwingine ni mwanafunzi wa chuo anasomea Education Kigoma huyu mfanyabiashara nikiwa na shida anansaidia sana, lakini...
0 Reactions
135 Replies
15K Views
Nikiwa nimemaliza degree ya "upendo na uaminifu " katika chuo cha Mlima wa Neema na sasa natafuta masterz na kutangaza nia ya kutaka kuoa dada mmoja ameona ni bora kuolewa na mchungaji ili...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Hili ni tukio ambalo likitokea miaka mingi sana iliyopita lakini hadi leo hii huwa nikilifikiria najikuta nimepatwa na haruma halafu hapo hapo napatwa na hasira kali. Hili tukio baada ya majuzi...
1 Reactions
59 Replies
7K Views
Watu wengi ukiwaambia hasa sisi watanzania ukiwaambia kuwa hata ukizaliwa baba mmoja mama mmoja na Bill Gates huna 'haki' ya kulazimisha akusaidie, hatuelewi kabisa. Nimeona uzi wa Adebayor watu...
48 Reactions
176 Replies
18K Views
Jamani nilikuwa nampa mshahara wote anapanga yeye, lakini alikuwa akikasirika hapiki cku3,4 hadi 5 na hela nimempa. alikuwa wakati mwingne hadi ananipiga lkn mm simrudishii, alinionea sana kwa...
1 Reactions
95 Replies
12K Views
Habari za majukumu wana jukwaa, Ni muda kidogo umepita tangu niweke bandiko jukwaani,nimerudi tena nahitaji ushauri zaidi lakini pia kujaribu kuona kama kuna ambao wana experience na ambacho...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…