MMU na Lugha gongana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MMU na Lugha gongana!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Elia, Mar 31, 2011.

 1. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tusiharibu MMU, Nikiwa mdogo nilisimuliwa story ya mlevi aliyekuwa anapiga kelele kijijini kila siku akitoka kulewa, Nakufaaaa, Nisaidieniiii, fisiiiiii, simbaaa,weziiii, nabakwaaaa, nk nk. Watu wakitoka kumsaidia ana waambia aaah, nilitaka mje mnisindikize nyumbani . Walevi wenye tabia hii wakaongezeka ikawa kero kubwa sana hata ilifika mahali wanakijiji wakawa wanapuuza mayowe na kuto jali kelele, siku alipo hitaji msaada hakuna aliye msaidia wakijua ni kawaida yake kupiga kelele. Najua sio Hadithi ngeni kwa wengi wetu, na sio lengo langu kusimulia hii hadithi ila tukumbushane tusijisahau
  Tunapoomba ushauri MMU tuwe wawazi tuwekane sawa kama ni wewe, rafiki, jirani ndugu au ni story ya mtaani iweke wazi wataalam wetu hapa MMU wajue jinsi ya kuchangia. Inachekesha/inabore leo umeandika mkewangu… kesho mumewangu… Watu wanakuwa touched na story wanachangia kutoka moyoni Siku yakikukuta ukatoa ishu ya ukweli member wataichinjia thread yako baharini when you need them the most…. Na wale wenye ID zaidi ya moja try to be smart.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Umenena vyema yaani siku hizi kunaboa sana mpaka basi na imekuwa comedy tu hapa maana unakuta mtu jana kasema natafuta mchumba mara anakuja nina mume miaka kumi, mara ooohhh nilikuwa na mpenzi mara natafuta mchumba mtu yuleyule jamani tusifanyane wajinga hapa tuko ili kusaidiana mawazo sasa watu wanapoleta mzaha inaudhi sana mpaka watu wanakata tamaa kuchangia mwingine ana ID nyingi anajichanganya mwenyewe kuweni smart ujichunge.

  Nawasilisha mkuu
   
 3. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nashukuru DA kwa kuliona hili, Kwa nini watu hawatoi ukweli, sio kilakitu lazima mtu awe yeye
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160

  Jana siku yangu imeharibisa sana baada ya kusema ukweli kuwa watu wanatuchezea akili maana nilipata PM za matusi mpaka nikashiba mwenyewe lakini sitaacha kusema kweli hapa tusichezeane akili kabisa kwanini watu tupoteze muda, akili zetu kushauri ujinga???? na Uongo uliotungwa???
   
 5. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Na hao ndio wanaotaka kutuharibia, tusipate maushauri ya nguvu, But keep it up dadaa!
   
 6. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mbona na mimi nilivyomquote hakurudi tena akakimbia thread yake nadhani ndio maana akaamua kumalizia hasira kwako, angerudi tena aone tungemuanikaje? watu wanafikiri watu tunacheza hapa
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160

  Sitaacha kusema ukweli daima!!! Kuna mwingine huko analalamika nashangaa kama unaleta ujinga unaambiwa bana hatuogopani hapa kwa kuchezeana akili watu wazima wamejaa humu na wapo watu wanahitaji msaada wa jamii sasa tukianza kuoneana haya inakuwa ni shida kubwa
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Aliona watu wamemshangaa na wewe ulivyomquote ndo kaona mmmhh mbioooo
   
 9. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kabisa kuna wengine hata sijui jinsia zao wala marital status zao maana leo wataibuka leo demu wangu, kesho utasikia BF wangu...... kabisaaaaaaaaaaa umenena.....
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Umeona eeehhh inashangaza sana na kusikitisha pia
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhh
  Haya bwana

  Lakini
  ningependa kuwakumbusha
  Hapa ni tunapigia mbuzi debe
  mtu anapotoa topic ambayo haina manufaa ye yot e
  sisi ndo wa kwanza kuchangia na kumkemea
  Hapo anapata kichwa sababu poster
  zinaongezeka kwenye thread yake..
  cha kufanya labda tusichangie kabisa..

  Na tukumbuk
  kuna kizazi kipya humu..
  heshima yababu na bibi
  Imepungua kwa kasi kubwa..

  Ndo maana
  watu wenye short temper
  Kama mimi ..mara nyingi
  Tunaa achia tu..
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  mimi huwa nawapaka sana humu ...na huwa nagundua haraka sana kuwa huyu mtu anadanganya.....kuna key words mtu anazitumia lakini huwa hazitally kutoka line moja kwenda nyingine.....kuna mmoja alidanyanga hapa nikamwambia kuwa wewe ni muongo....bsi kuna mtu mmoja humu anaitwa mpendwa ......jamaa akaleta thread za zamani za mtoa mada ambazoni tofauti kabisa na ile tuliyokuwa tunajadili hapa....nyingine anasema ameolewa ana miaka 0 ndoani na nyingine ana mpenzi kwa miezi miwili

   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Elia una mabusara sana.
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Waripoti kwa Invisible au xyln JF moderator,wao wanaamini kwa kuwa ni PM basi huwezi kuwashtaki wakapewa ban but you can do it kama umechoka lakini na matusi yao ila kama unafurahia.............
   
 15. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi tufanyaje jamani maana hali ni mbaya
   
 16. e

  ejogo JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Elia umenena! jamaa wanadhani wapo kindergarten na story zao za kutunga.
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  AD Pole na Msiba!

  Hivi Computer yako huwa inakuwaje maana misitari yako uwa inaishia katikati ya ukurasa?
   
 18. CPU

  CPU JF Gold Member

  #18
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  Safi sana
  Nadhani wale akina NOSING FOO GUD, NOTI ENAFU na wengine wa taipu kama hiyo wamekapata kaujumbe
  La sivyo tutaendelea kuwachinjia baharini, maana wakinena ukweli tutashindwa kutofautisha na mizaha yao
   
 19. CPU

  CPU JF Gold Member

  #19
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ahsante Mungu kwa kunionyesha kiumbe hiki.
  Hii ndio tabia ambayo ni sugu kwa members wengi humu ndani.
  Mtu kama Nosing foo gudi alitoa posti hapa akadai kafanikiwa kulala na mume wa jirani yake, akajipongeza and then akataka apongezwe humu ndani. Ni wazi ana akili timamu sana ila kazisoma akili za members wengi JF akaona kwamba ili post lake libaki kileleni ngoja apost maujinga ili kadri watu wanavyosiliba post lake ndio wanavyozidi kuliweka hewani mada la ujinga, na mwishowe inafanya tuonekane wote wajinga.
  Mi nadhani kusiliba kwa kumwambia mtu LIVE ana kwa ana ni tofauti kidogo na hapa.
  Hapa njia muafaka ya kusiliba ni kuangalia post, na ukichangia sana piga [​IMG]
  Itakuwa ni adhabu tosha akiziona hizo nyingi au akiona watu walio View ni 700 Replies 0
  Vinginevyo atajiona mshindi
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Apr 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Sante sana dear
  .
  nway kuhusu
  kuacha mistari
  Nusu hiyo we ndo
  umeniambia leo hahaalol

  Ni
  mazoea tu
  sijui kama ni mabaya au mazuri..
   
Loading...