baraker88
Senior Member
- Feb 26, 2014
- 124
- 147
Habari wadau wa MMU,
Katika safari yangu ya mahusiano nimebahatika kujifunza mengi yanayotokea ndan ya mahusiano na nje ya mahusiano,Napenda kuongelea zaidi katika tendo la ndoa.Wanaume wengi hawawaridhishi wapenzi wao pale wanapofanya mapenzi bali hua wanawajiridhisha wenyewe.
Ushahidi;
Wanawake wengi hasa walio olewa wanatoka nje ya ndoa ili watafute kuridhishwa kimapenzi na si kifedha wala sababu nyinginezo.
Simulizi;
Mimi ni kijana wa miaka 27 na bado sijaoa, nakumbuka nikiwa nasoma shahada yangu ya kwanza mkoani Moshi nilipanga kwenye nyumba flani hivi mitaa ya KCMC, tulikua tukiishi na mwenye nyumba na familia yake,wapangaji tulikua wawili mimi na dada moja anafanya biashara ya saloon.
Mama mwenye nyumba ni doctor Hospital ya Mawenzi na mmewe ni doctor KCMC, baada ya kuishi kama miezi miwili mama mwenye nyumba alianza mazoea ya kuingia chumbani kwangu na kunisalimia na kuniuliza habari za chuo, mwanzoni sikuwahi fikiria kama zile salamu zilikua ni maandalizi ya kuniweka karibu
Kunasiku mmewe alisafiri kikazi nikiwa chuo nilitumiwa sms yenye ujumbe wakunitaka tuonane mjini, namba ilikua mpya nilivyopiga nijue nani ilikata nikatumiwa ujumbe kua nipo ofisi bado baada ya nusu saa, tukutane nilipo kuomba tuonane, kwa kua nilikua ni mtu wa michakato fasta nikachukua boda boda iliniwahi kufika kabla yake nisome ramani vzr, baada ya nusu saa ghafla nikaona gari ya ma mwenye nyumba inapark, ilinibidi nijifiche kiana ili asinione maana sikupenda anikute maeneo hayo.
Ikapita kama dk 5 ikatumwa sms umefika wap , nikaijibu nipo tayar ndan we upo wapi, akanielekeza sehemu aliyopo,kilicho nipa shida kila nikijaribu kufata maelekezo yananipeleka kwa yule mama mwenye nyumba nikawa nahisi nakosea nikaamua kupiga simu ndio nikajua alikua ni yeye.
Nikafika nikamsalimia, she is about 37yrs ivi kwaiyo bado anaoneka katika ubora wake, basi baada ya salamu akaanza kunisifia kua mimi ni kijana mzuri,najiheshimu, sileti wanawake pale home, ila tatizo langu ni moja tu napenda sana pombe maana akiingia room hua anakuta chupa kibao za mitungi.
Akaniambia ameniita ili aone uwezo wangu wa kunywa unaishia wap, akaenda mbele zaidi kua nisihofu kuhusu kurudi nyumbani maana ameshalipia sehemu nitakayo lala, sikuweza kupinga maana niliogopa kuongezewa kodi, yeye alikua akinywa saint Anna na mi napiga mambo yangu, mida ikaenda tukala nyama tukaendelea kunywa na story kibao kama washkaji, giza likaingia akawa amesha anza kulewa, akaniomba anipeleke kunionesha chumba alicho nitafutia,
Tulivyofika chumbani chaajabu alitoa kikaratasi cha majibu ya hospital kinachoonyesha vipimo kibao ikiwemo HIV, akaniambia leo nataka unionyeshe uanamme wako, nikakumbuka wiki kama 2 zilizopita nilienda hospital nilikua naumwa yeye ndie alie nipima na sikua na tatizo lolote ilikua ni hangover over tu
Basi kijana nikaanza kazi, nikatumia uzoefu wangu wote kumuuanda, "hapa ndipo wanaume wengi wanapokosea", nilimpa maandalizi ambayo hajawahi kupewa maishayake yote, alipiga kelele zote, apo ata kaka mkubwa hajaanza kazi yake.Basi ulikua usiku mzuri sana kwake, tukarudi nyumbani mida ya sa 10 alfajir,kuanzia sikuiyo nikapewa msamaha wakodi akaona haitoshi akanipangishia nyumba, hayo yote anafanya sababu mumewe hamridhishi.
Simulizi ya pili ni ya yule mpangaji mwenzangu dada anayefanya biashara ya saloon;
Hajaolewa lakini ni wale madada wa mjini, kiukweli mimi ndio nilianza kumtamani, nikajitahidi katika njia zangu nikafanikiwa kumpata ingawa alinipa mashart ya kua yeye ana mtu wake kwaiyo nisitegemee sana kwake, kama kawaida yangu hua sifanyi makosa napopewa nafasi kiukweli dada saloon aliridhika sana na kunitamkia maneno kibao yakuonyesha kua ameridhika sana akaniganda sana mpaka mama mwenye nyumba akashtukia dada akapewa notice,
Chaajabu dada wa saloon akanitangazia kwa rafiki wateja wake nikaanza kupokea number mpya za wa mama na wadada hasa wake za watu, kwakua kipindi hicho akili yangu ilikua haijakomaa vizuri niliifanya iyo kazi kikamilifu, nachoshukuru sharti langu la kwanza lilikua ni kupima HIV kabla ya yote.
Nawahakikishia nilitembea na wake za watu zaidi ya ishirini mpaka nilipofika mwaka wa 3 niliamua kuacha kufanya hayo mambo Kitu nilicho jifunza, wanaume wengi tupo busy sana na kutafuta pesa, tunajisahau kuwaridhisha wanawake, akichepuka unaanza kuomba ushauri MMU, lengo kuu la kuoana au kua na mahusiano ni kukidhi haya ya mwili, mengine ni yakawaida ata ukikaa mwenyewe unayatekeleza.
Watakao zingatia ushauri wangu faida kwao, watakaoona upuuzi wataendelea kusalitiwa na wapenzi wao