Kwa jinsi Afrika mfumo dume ulivyokithiri,wanawake huwa ni waathirika zaidi wa mahusiano kuliko wanaume. Lakini naona hawapost sana issue zao kulinganisha na wanaume!

Most men of our generation are feminine, weak and striving for attention.Nimefuatilia kwa muda nimeona wanawake wengi hawapost hapa issue zao. Huenda wanaona aibu labda wanapotezea, yapite tu!
Kwa jinsi Afrika mfumo dume ulivyokithiri,wanawake huwa ni waathirika zaidi wa mahusiano kuliko wanaume. Lakini naona hawapost sana issue zao kulinganisha na wanaume!
Kwa sababu wanawake wengi wameAcept changamoto za ndoa na mahusiano kwa ujumla tofauti kwa sisi wanaume.Tukiwacheat yanaisha faster ila tukicheatiwa patachimbika na mahusiano yataisha
kupost sio ishu....ishu ni nini anachopost.....
MI-THREAD MINGI HUMU NI STORY ZA KUTUNGA, AKILI ZA KITOTO, NONSENSE, threads za maana ni chache sana.
na bahati mbaya sana hawahawa men wenzangu ndio wanaoleta nyuzi za hovyohovyo yani mpaka inakera.

Humu wavulana wengi kuliko wanaume. Ila nao wanajifanya wanaume.
Kwa sababu wanajua Ku handle issues zao kiutu uzima tofauti na wanaume walio wengi hawajiamini.
hivi mimi ni me au ke?mwanamke au mwanaume akipost uzi utamuelewa hata kama avatar hazifahamiki!