Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikua kwenye daladala leo nkawaskia wadada watano walokua seat ya nyuma wanasema wanatamani sana kuolewa na wanaume wa Kikurya, kwamba eti Wakurya ni real men. Mimi nikatabasamu tu.
2 Reactions
37 Replies
5K Views
RIWAYA: HISTORIA BATILI(Fake History) MTUNZI: Jumaa Khatib Mdharuba (Jk) +255 718 274 130 SEASON 01-EPISODE 01...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amani ya bwana itawale jamvini, Hivi haya mapenzi ya kunyonya papuchi yanawezekana au ni maigizo tu ya kwenye sinema(don't try it at home). Nina zaidi ya miaka 15 katika maswala ya mahusiano na...
2 Reactions
137 Replies
23K Views
Naitwa Joshua nipo Shinyanga, natafuta mke wa kuishi nae awe na miaka 20-30. anicheki whatsapp 0788800858 Please utani siomzuri
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Habari zenu wana JF, Kama mjuavyo wana Jf, sasaivi asilimia kubwa ya watu wanapenda kuchepuka, aijalishi mtu awe ameoa,ameolewa au ajaoa wala kuolewa. Ukiacha suala la fedhea ambalo ni...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mwanamke anaweza akawa na mpenzi wa kiume aliyemzidi miaka kumi hata kumi na tano katika jamii ikaonekana poa. Shughuli ipo kwa mwanamke amzidi mwanaume miaka hiyo kumi halafu mahusiano yapo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Yaani tukiwa tunaangalia wote TV likitokea Tangazo hili mara amwite mtoto, mara simu, ni kujifaragua tuu, sijui ni kwanini? Sijui nifanyeje alipende hili Tangazo.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana, Kuna jambo limenikera kupita sana naomba kupata ushauri weni. Nina shogayangu na vile vile ni mkumbwa kwangu kidogo kwa umri,urafiki wetu sio wa mda mwingi kama mwaka hivi...
0 Reactions
95 Replies
11K Views
Wanajamvi, Kwa wiki mbili hivi kila asubuhi navotoka home kwenda kazini nakutana na huyu mwanafunzi utafikiri anakaaga getini akiona natoka tu naye anakuwa anaondoka basi namuona kwa nyuma...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha, unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu, unajiuliza amezaliwaje, analipia wapi pumzi yake, umemuoa anapenda malumbano, kitu kidogo...
14 Reactions
380 Replies
105K Views
[SIZE=3]Uhali gani mdau, Karibu utupe ushahidi wa majanga yaliyokukuta mara baada ya kumsomesha mpenzi,mchumba au mke na kufika zaidi ya degree na kukuzidi elimu na kipato wakati wewe darasa la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina mchumba na nina malengo ya kufunga nae ndoa, yeye ni mkatoriki na mimi ni muislamu. Tatizo ndugu zake hawataki aolewe na mtu tofauti na dini yake.lakini mimi na yeye tunapendana sana, Na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Kama tittle ilivyo, nina mke mwaka wa pili sasa na tuna mtoto mmoja aliye na mwaka, tatizo lilinikumba ni kuwa mke wangu amewahi kutoa mimba mara mbili jambo ambalo...
0 Reactions
59 Replies
12K Views
Habari zenu wana jf.nmeingia kwenye sintofahamu baada ya kumpenda dada mmoja , nilipomwambia akaniambia nisubiri atanijibu cha ajabu akaja mama yake mzazi akaniambia mwanangu nimemlea kwenye...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa kati ninayejiheshimu,natafuta mwanamke wa kiislamu ili awe mchumba wangu na kama tutakubaliana tutaoana nipo makini na jambo hili. Aliye tayari anaweza weka namba ya simu inbox...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Nipo kwenye ndoa miaka 5 sasa ila mke wangu yupo Bukoba kikazi nami nipo Dar kikazi kwa miaka 3 sasa nimekuwa naonana na wife mara moja kwa mwaka yani kipindi cha likizo tu tena mwezi wa 12 siku...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wasalaam, Kwanza naomba mfahamu kwamba wanandoa wanapokaa muda mrefu baadhi ya vitu huanza kuchakaa kimapenzi. Hata hivyo upendo na wema husaidia kurudisha moto wa mapenzi na wanandoa kujiona...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
1. Mboga za aina nyingi, zipo tayari kuchumwa Za maboga ndizo nyingi, nazi sharti kukunwa Kuna za bila shilingi, hazihitaji kupondwa Majani yaliyonyooka, magumu kuchumwa mboga 2.Sokoni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeangalia coverage ya BBC jinsi ushoga ulivyoenea na kuhalalishwa waziwazi na nchi kibao duniani. Mbaya zaidi hawa mashoga wakioana husikii hata siku moja ndoa zao zinavunjika, wakati kasi ya...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…