Mapenzi: Utafanyaje likikutokea?

Mapenzi: Utafanyaje likikutokea?

bitebo7

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Posts
858
Reaction score
601
Habari zenu wana JF,

Kama mjuavyo wana Jf, sasaivi asilimia kubwa ya watu wanapenda kuchepuka, aijalishi mtu awe ameoa,ameolewa au ajaoa wala kuolewa. Ukiacha suala la fedhea ambalo ni kufumaniwa. Je ulishawai kufikilia endapo mchepuko wako ukapoteza maisha mkiwa mpo guest house,lodge au hata iwe room kwako nk. Nini utafanya?

Hapa ndipo dunia utakapoiona chungu,maana unaweza ukamalizia miaka yako segerea! Nimeandika hapa baada ya kuusikiliza wimbo wa hussein machozi kafia gheto kwa makini zaidi. Ata kama aujaua serikali haitakuelewa kwanza utakaa sero uisidie polisi na miaka itakatika.

Karibuni tuchangie wadau
 
Ukioa ni bora zaidi kuliko kuchepuka.
 
Kwani mbona the same incidence na kuambukizwa ukimwi,tena hii baada ya uchunguzi wa kidaktari na polisi unatoka kwa sababu kuna coincidence evidence tu basi ambayo haithibitishi wewe ndo umeua !!labda forensics ionyeshe ulimkaba au alipigwa kitu kizito
 
Mh! wewe unasema tu ila omba lisikutokee maana shurba yake si ndogo
 
Kwa nn ucheat?? Ajabu halafu MTU anaecheat akajua wife au husband wake anacheat anakua mbogo kweli akat nae anacheat he!! Mlioa na kuolewa iweje Kama bado hamjamaliza shughuli zenu??
 
Back
Top Bottom