Nampenda sana tatizo ndugu

Nampenda sana tatizo ndugu

mwanajamii26

Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
58
Reaction score
13
Nina mchumba na nina malengo ya kufunga nae ndoa, yeye ni mkatoriki na mimi ni muislamu. Tatizo ndugu zake hawataki aolewe na mtu tofauti na dini yake.lakini mimi na yeye tunapendana sana,
Na sitaki kumkosa na ameniahidi atajiua endapo hatoolewa na mimi.
Naomba ushauri wenu nifanyeje?
 
pole sana, kiufupi tafuta watu wa karibu na familia yake hasa wazee wenye busara wajaribu kuongea na wazazi wake, mengine wataongezea wachangiaji wengine
 
Mwambie ajiue, na wewe pia jiue, alafu mkikutana akhera mtafunga ndoa bila bugugha.
 
Usiwaze sana bro we mtie mimba ya kwanza, ya pili na ya tatu utapewa mke BUREEEEE bila mahali
 
We hilo la tofauti ya dini/imani unalizungunziaje?
 
Jamani kwani wewe msikitini hujaona wanawake na yeye huko kanisani hajaona wanaume??????? mnapoanza mapenzi muwe mnaangali na vitu vinavyoweza kuwa vikwazo baadae na mkaviepuka mapema kuliko kuwapa wakati mgumu wazazi.

cc NasDaz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom