Mke mtarajiwa kanivuruga, anatumia huge dildo - S02E02

Habari wadau,
Mimi ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani,
Siku chache zilizopita nilikuja mbele yenu kuomba msaada wenu waungwana wenzangu baada ya mke wangu mtarajiwa kuniomba nimruhusu kutumia dildo na vibrator, kwa sababu nilikuwa nasafiri nilimkubalia kwa Shingo upande.
Kutokana na sababu ambazo sikuzitarajia na zilizo nje ya uwezo wangu Imenibidi nifupishe muda wa safari. Baada ya kurudi safari nikampigia mtarajiwa wangu aje home kwangu na nikamwambia aje na dildo na vibrator yake ili niyafungie kabatini kwa sababu hakuna haja ya Kuyatumia tena kwa sababu tayari kidume nipo in town.
Ndipo mtarajiwa akaja nayo, kilichonishangaza ni huo mdildo, ulikuwa ni mkubwa sana, ukubwa wake ni karibia mara 2 ya dushe langu (sio kibamia), nilipomuuliza kasema ameshatumia mara 3 Hilo dildo.
Baada ya mvutano mdogo nikimlaumu kununua dildo kubwa, tukapiga game kama kawa, ingawa mwenzangu anaonekana kuridhishwa na game, mimi nahisi Kama dushe limepwaya sana, nahisi K yake imepanuka sana.

Wadau naomba munishauri cha kufanya bila kunibeza tafadhali, mkizingatia kwamba huyu mke mtarajiwa wangu.

Unajtetea wakat umeyakorogga,,
Ngoja wakujee
 
Hhhhaaa yaan Gogle bana we si umfanyie hiyo dildo mpaka achokee
 
Last edited by a moderator:
Hakuna ushauri hapo, zaidi tumejua kwamba baada ya kutahiriwa ukubwani umeathirika kisaikolojia kwa kuamini uume wako umekua mdogo. Na unapokutana na mpenziwako kimwili, unataealiwa na mawazo pamoja na hisia za kupwaya ..mani
 
Siku hizi kuna surgery za kuipunguza K saizi uipendayo. Ka vipi dondoka nae South tu hapo zipo.
 
ule Uzi WA dildo niliuona,kumbe ulimruhusu? Pole sana sasa umakazi ya kushindana na dildo mkuu ili umridhishe mkeo tarajiwa
 
Habari wadau,
Mimi ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani,
Siku chache zilizopita nilikuja mbele yenu kuomba msaada wenu waungwana wenzangu baada ya mke wangu mtarajiwa kuniomba nimruhusu kutumia dildo na vibrator, kwa sababu nilikuwa nasafiri nilimkubalia kwa Shingo upande.
Kutokana na sababu ambazo sikuzitarajia na zilizo nje ya uwezo wangu Imenibidi nifupishe muda wa safari. Baada ya kurudi safari nikampigia mtarajiwa wangu aje home kwangu na nikamwambia aje na dildo na vibrator yake ili niyafungie kabatini kwa sababu hakuna haja ya Kuyatumia tena kwa sababu tayari kidume nipo in town.
Ndipo mtarajiwa akaja nayo, kilichonishangaza ni huo mdildo, ulikuwa ni mkubwa sana, ukubwa wake ni karibia mara 2 ya dushe langu (sio kibamia), nilipomuuliza kasema ameshatumia mara 3 Hilo dildo.
Baada ya mvutano mdogo nikimlaumu kununua dildo kubwa, tukapiga game kama kawa, ingawa mwenzangu anaonekana kuridhishwa na game, mimi nahisi Kama dushe limepwaya sana, nahisi K yake imepanuka sana.

Wadau naomba munishauri cha kufanya bila kunibeza tafadhali, mkizingatia kwamba huyu mke mtarajiwa wangu.

Na wewe litumie hilo dildo kulipa kisasi
 
Back
Top Bottom