boobookitty
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 255
- 174
Mwanamke anaweza akawa na mpenzi wa kiume aliyemzidi miaka kumi hata kumi na tano katika jamii ikaonekana poa. Shughuli ipo kwa mwanamke amzidi mwanaume miaka hiyo kumi halafu mahusiano yapo public aisee ni ataitwa yote.
I wonder
I wonder