Wanawake watapata tabu, nani atawaoa, hasa miaka ya mbeleni?

Wanawake watapata tabu, nani atawaoa, hasa miaka ya mbeleni?

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Nimeangalia coverage ya BBC jinsi ushoga ulivyoenea na kuhalalishwa waziwazi na nchi kibao duniani. Mbaya zaidi hawa mashoga wakioana husikii hata siku moja ndoa zao zinavunjika, wakati kasi ya kuvunjika ndoa za mme na mke ni kubwa na inaongezeka.Noma zaidi hata watu wanaoaminiwa na jamii ndio wanaoweza kuilinda wanaoa watoto wa kiume au wanaume.

Kuna Mchungaji mmoja ambaye alikuwa Mjuislamu alisema Masheikh karibu wote hasa wenye uwezo huoa mke mnene, mwembamba, mweusi, mweupe na mwanaume mmoja ambaye mara nyingi huonekana kama mfanyakazi au houseboy na hilo swala hata wanawake zake huwa wanalijua. Alisema hata yeye alikuwa ameoa mwanaume kabla hajawa mkristo.

Hali kadhalika tumeona kasi ya mapadri ya kulawiti watoto wa kiume ilivyo. Pia kasi ya walimu wa mdrassa kulawiti watoto wa kiume.Hawa wanaume wanaolawitiwa au kuolewa hata siku moja hawataweza kuoa wanawake. Bado mambo mengine kama ulevi yanaathiri wanaume kwa kasi ya ajabu na kukosa nguvu. Hatari zaidi vijana wengi hata habari ya kuoa haipo, yaani wapowapo tu.

Ukizingatia kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume, nani atawaoa wanawake kadri siku zinavyosonga? Sisi wachache tuliobaki kama wanaume rijali hatutabakwa na wanawake mpaka tukome siku za usoni? Hivi haitafikia hatua mwanamke anamwomba mwanamke mwingine mwenye mme alale na mme wake japo aondoe ashiki?

Swala hili linaweza kupatiwa ufumbuzi kweli au dunia inaisha?
 
yupo shoga hapa Tz nilisikia kaamua kuacha ushoga na akaoa, sijajua kama hiyo ndoa bado inauhai ama ilishakufa
ninachojiuliza ni je? anaweza kupiga kinanda??
 
LifeHacker

Biblia katika kitabu cha Isaya ilitoa unabii juu ya jambo hili.Inasema itafikia wakati ambapo wanawake watamlilia na kumng'ang'ania mwanaume mmoja awaoe ,watamgharamia kila kitu ili mradi tu waitwe kwa jina lake.

Mungu pekee ndiye mwenye kuinusuru hali hii,hakuna jipya chini ya jua,yalifanyika enzi za sodoma na gomora yafanyika sasa.Zamani zile hofu ya mzazi ilikuwa juu ya Mtoto Wa kike kuwa ataleta aibu ya kuzaa kabla ya ndoa,leo hofu ni Mtoto Wa kiume aibu na simanzi yake haibebeki moyoni mwa mzazi.
 
Last edited by a moderator:
Ungeondoa hizo sehemu zinazogusa imani zao kabla hawajaja kuleta fujo hapa. Mada nzima itageuzwa ya kiimani.

mamazao kama watapinga kwa sababu hizi habari zipo na zinaripotiwa na media kila kukicha. Waende hata youtube watapata database ya haya yote niliyoandika.
 
Biblia katika kitabu cha Isaya ilitoa unabii juu ya jambo hili.
Inasema itafikia wakati ambapo wanawake watamlilia na kumng'ang'ania mwanaume mmoja awaoe ,watamgharamia kila kitu ili mradi tu waitwe kwa jina lake.
Mungu pekee ndiye mwenye kuinusuru hali hii,hakuna jipya chini ya jua,yalifanyika enzi za sodoma na gomora yafanyika sasa.
Zamani zile hofu ya mzazi ilikuwa juu ya Mtoto Wa kike kuwa ataleta aibu ya kuzaa kabla ya ndoa,leo hofu ni Mtoto Wa kiume aibu na simanzi yake haibebeki moyoni mwa mzazi.

Kwa hiyo unabii unatimia?
 
Aisee! Bado watu wanaotafuta vyeo au utajiri nao inasemekana waganga wa kienyeji wengi wamebuni masharti, mojawapo likiwemo kumlawiti mhusika.
 
yupo shoga hapa Tz nilisikia kaamua kuacha ushoga na akaoa, sijajua kama hiyo ndoa bado inauhai ama ilishakufa
ninachojiuliza ni je? anaweza kupiga kinanda??

Huyo ndugu zake watakuwa walimwambia tangaza umeoa ili kuua so, hataweza kitu.
 
hapana jaman
yapasa ujipendekeze na kutafuta mpaka upate mume hata kama waume watakuwa wachache

Marytina....asa mtu amesha-conclude jambo, unadhani itakuwaje?
Ye ukomo wake kuhusu wanawake ndo umeishia pale.
 
Last edited by a moderator:
na ni kwann tabia ya kupumuliana vichogoni imekithiri sana maeneo ya pwani? mfano Tanga, Mombasa, Zanzibar, Dar?
 
LifeHacker

itaji-balance kwasababu wanawake nao wanaoana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom