Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naomba nianze kwa kuwasalimu wapendwa, Yapata miezi mitatu tangu nikutane kimwili na mchepuko wangu, bado sijaoa ila niko kwenye uchumba yapata mwaka wa pili na bibie ambae nimempa nafasi ya kuja...
1 Reactions
97 Replies
10K Views
Hi, I am a Tanzanian man looking for a lifemate, please send me a private message for further explanations.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nina girl friend nimemaliza nae form six amekuwa akiniambia kila siku kuwa anapenda sana mtoto hivyo anataka nimpe mimba ili akiwa maisha ya chuo anataka awe na mtoto na kwao...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Wanawake wengi mmekuwa na tatizo moja, kutoridhishwa, je wewe mwanamke unapenda mumeo akufanye nini kabla kusex akushike wapi, akusugue muda gani, akimaliza akupe nini na akuambie nini. Halafu...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Hivi karibuni nmejikuta ile dhana ya used ndio watamu ikiyeyuka kichwani.Used wana raha kwamba hamna kufundishana mahabati ila kero ni kwamba wanakupa jeraha kisaikolojia la what of her or his ex...
1 Reactions
44 Replies
12K Views
Eti jamani tunachukulia vipi swala la kumtoa mimba mtu au kuiacha halafu kukimbia bila notice. Kipi kinaunafuu japo vyote ni vibaya.
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari za wakati huu wana MMU, Leo nataka kutoa experience yangu kidogo kwanini demu akijua unampenda anakuwa anakusumbua? Nimekuwa mkatili na jeuri kwa warembo na nashangaa hao ninao wafanyia...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Just relaxing, Madaraka day in Kenya, Kinana Came where is Kikwete?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu UMUHIMU WA TENDO LA NDOA KIAFYA 💕Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi...
1 Reactions
32 Replies
10K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nahamia tem Free P kwa mkopo sio rasmi. Ujue mtu kama mie mwenye mizizi yangu Team No Free P siwezi...
23 Reactions
121 Replies
13K Views
Mapenzi sio kitu halisi ni udanganyifu wa uhalisia, unapotokea kumpenda mtu, unapenda ‘udanganyifu wa uhalisia’ ambayo huyo mtu mwenyewe amekutengenezea. Lengo kuu la binadamu ni kuzaa na kupata...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
KUWA MKE MWENYE MAFANIKIO KATIKA NDOA: Ama katika kukupa njia za ziada za kulifikia lengo la kuwa mke bora, ninakushauri uzingatie nukta zifuatazo. 1. Maelewano baina yako na mume wako na...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Natafuta rafiki wa kike mwenye kujiheshimu umri awe miaka 30-42 mengi tutaongea baada ya kuwasiliana. Asante
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Hivi huwa najiuliza nani anapata hasara kati ya anayempa mimba mke wa mtu harafu yule mwenye mke analea mtoto mpaka anakua na mtoto anakuwa anajua kuwa yeye ndiye baba. Yule aliyempa mke wa mtu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari za Jumapili wana Jf, Hivi ni kwanini kunabaadhi ya wasichana/wanawake hawazungushi feni wakati wa Metch (kukatika) wakatikugegedwa). Yaani awapo kitandani anatulia tuli kama gogo...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Aliye tayari ani pm serious
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Habari za jioni ndugu zangu, Mimi ni mama wa watoto wawili mapacha, nilipewa ujauzito nikiwa form one tu, nikajikuta nashindwa kusoma kabisa, Roho iliniuma sana,ila sasa nimezoea. Aliyenipa...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Wakuu za Jumapi, hope mko poa. Nahitaji mawazo yenu je, miaka 22 ni sahihi kuanzisha uchumba na mtu kwa mategemeo ya ndoa?. Naomba kujua huu ni umri sahihi wa kuanza mahusiano kwa tegemeo la ndoa.
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Inasikitisha sana kwa mwanaume, kama hauna hata uwezo wa kumaliza kilo moja ya mchele ndani ya siku moja. Ukweli ni kwamba mwili wa mwanadamu na kiumbe kingine chochote kinahitaji chakula vya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Alitokea kuwa binti mzuri aliyenivutia machoni mwangu. Tabia na busara zake vilistahili kusifika kwa mujibu wa nilivyomsoma na kumfahamu ingawa ni kwa muda mfupi (kadiri ya miezi 6 ya uhusiano...
2 Reactions
142 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…