Ushauri: Ananilazimisha nimpe mimba


Isaack Newton

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
620
Points
225
Age
29
Isaack Newton

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
620 225
Habari wakuu,

Nina girl friend nimemaliza nae form six amekuwa akiniambia kila siku kuwa anapenda sana mtoto hivyo anataka nimpe mimba ili akiwa maisha ya chuo anataka awe na mtoto na kwao huyu dada wana hela ile mbaya.

Halafu katika familia yao yeye ndio first born na last born, sasa hapa najifikiria nimpe mimba kweli? Maana mambo yanabadilika na ananipenda kufa maana nilianza mapenzi nae toka form two mpaka leo.

Ushauri jamani
 
A

Apendeki2

Senior Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
161
Points
0
A

Apendeki2

Senior Member
Joined Oct 20, 2014
161 0
Wewe unajisikiaje rohoni mwako? Ina maana ushauri wa hapa unawexa kukufanya uchukue maamuz?
Nakushauri usimpe
 
Mussa waukweli.

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Messages
535
Points
500
Mussa waukweli.

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2013
535 500
haha mbona unachelewa au huna uwezo wa kumpatia... nipe mimi nimpe fasta
 
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Messages
16,849
Points
2,000
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2014
16,849 2,000
Mambo kama hayo huwa natoa msaada mwenzenu hebu kama uwezo wa kumpa mimba huna lete nikusaidie kiroho safi
 
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
10,030
Points
2,000
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
10,030 2,000
Mpe mpe mpe
mtoto akililia wembe.....
dogo basi uwezo wa kumpa mimba anao?? Bas tu maneno tu kuchezea jukwaa hili aonekane yumo
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,927
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,927 2,000
Watu kama ninyi ndio mnaoenda vyuo kwa bahati mbaya...

Mwanaume mwenye akili timamu na anayejielewa hawezi kuuliza swali la kijinga kama lako...

Unatuuliza habari za kugawa mimba au kutokugawa kwani wewe ni jogoo la kuazima?
 
M

Magurudumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
1,751
Points
1,225
M

Magurudumu

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
1,751 1,225
Isaack Newton

Mwambie aje kwangu hata akitaka mimba 5 nitampatia.
 
Last edited by a moderator:
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,325
Points
2,000
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,325 2,000
Jk alisema mwaka huu tunavuna BRN kama laki kadhaa kama ndiyo hizi basi tz hatuna jinsi!
 
G

GABRAISON5

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2013
Messages
204
Points
195
Age
26
G

GABRAISON5

JF-Expert Member
Joined May 13, 2013
204 195
nimmemaliza sekondari sasa full kutusumbua
 
HALELUYA MOSHI

HALELUYA MOSHI

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Messages
2,119
Points
2,000
HALELUYA MOSHI

HALELUYA MOSHI

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2014
2,119 2,000
Kwan mpaka sasa unazo ngapi? Maana usije ukampa na wewe ukaanza kuazima!!! Mbaffffffff
 
S

SORENZA

New Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
4
Points
0
S

SORENZA

New Member
Joined Feb 17, 2015
4 0
Maswali mengine ni shida, sasa hii ndio inshu ya kuomba ushauri kweli
 
NIMPENDENANI

NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Messages
6,139
Points
2,000
Age
29
NIMPENDENANI

NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2014
6,139 2,000
Nimpendenani una manisha nin??? maaana kuna post zingineni za kike zinapostiwa na wanawake
Namanisha huyo Rafiki yako he is not a man enough....
 
Roger Sterling

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Messages
11,157
Points
2,000
Roger Sterling

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined May 10, 2015
11,157 2,000
Habari wakuu,

Nina girl friend nimemaliza nae form six amekuwa akiniambia kila siku kuwa anapenda sana mtoto hivyo anataka nimpe mimba ili akiwa maisha ya chuo anataka awe na mtoto na kwao huyu dada wana hela ile mbaya.

Ushauri jamani
 
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
6,873
Points
2,000
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified Member
Joined Sep 13, 2014
6,873 2,000
Eti analazimisha kwani kama anataka mimba ni mpaka akuambie mbona kazi rahisi sana kupata hyo mimba.

kingine ina maana wew hadi upigwe ngumi ndo unatoa nguvu za kiume au? maana kama uko vizur angeshategesha
 

Forum statistics

Threads 1,285,394
Members 494,584
Posts 30,860,410
Top