Wanawake usipite bure hapa, tazama na achia utamu

Wanawake usipite bure hapa, tazama na achia utamu

simmon

Member
Joined
May 9, 2015
Posts
18
Reaction score
7
Wanawake wengi mmekuwa na tatizo moja, kutoridhishwa, je wewe mwanamke unapenda mumeo akufanye nini kabla kusex akushike wapi, akusugue muda gani, akimaliza akupe nini na akuambie nini. Halafu unapenda awe na uwezo gan kimaisha kama wewe haupo katika ndoa. Mrembo ilihali miaka 20 mpaka 30-- bwaga mambo

Tafadhali, karibuni
 
Haaah waseme ili uwachukue wake za watu kiulain pole.
 
simmon

What?! Kwa uzoefu wangu hapa JF huwezi kupata mdada wa kuelezea mambo yote uliyoulizia. Wanajisikia vibaya kuwa so open!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaweza kugoogle...
Hayo mambo yanaweza kupatikana huko pia.
 
Mleta mada hapa huwezi pata jibu, tatizo ni kizazi cha sasa, kuanzia nineteenth.Tamaa, utandawazi, pesa ni vitu vinavyoharibu life yao kwa ujumla. Hiki kizazi hakijui kitu uvumilivu katika shida na raha. Inasikitisha saana ase.Mbona wazazi wa enzi hizo walikuwa wavumilivu na stahili zilikuwa chache saana, lkn uvumilivu ndo kilikuwa kinadumisha ndoa.
 
Back
Top Bottom