Nani alikuambia mwanaume hasifiwi kula?

Nani alikuambia mwanaume hasifiwi kula?

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Inasikitisha sana kwa mwanaume, kama hauna hata uwezo wa kumaliza kilo moja ya mchele ndani ya siku moja. Ukweli ni kwamba mwili wa mwanadamu na kiumbe kingine chochote kinahitaji chakula vya kutosha ili viweze kufanya shughuli kwa uhakika.

Ndio maana watanzania walio wengi kwa sasa wana maumbo ya ajabu ajabu na madogo kutokana na ulaji wa kipumbavu.

Vile vile huwezi kuwa na nguvu kiume za kutosha kama ulaji wako ni kama wanaume wa Dar es saalam.
 
Waambie hao wao wanakula chips. Mayai halafu wanategemea wawe na nguvu za kiume ahahahahaaaa
 
Kilo moja ya mchele au unataka kushindana na Minjingu kutengeneza mbolea?
 
Inasikitisha sana kwa mwanaume, kama hanuna hata uwezo wa kumaliza kilo moja ya mchele ndani ya siku moja.
images
 
Back
Top Bottom