fundichupi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 382
- 238
Eti jamani tunachukulia vipi swala la kumtoa mimba mtu au kuiacha halafu kukimbia bila notice.
Kipi kinaunafuu japo vyote ni vibaya.
Kipi kinaunafuu japo vyote ni vibaya.
ETI JAMANI TUNALICHUKULIA VP SWALA LA KUMTOA MIMBA MTU AU KUIACHA HAFU KUKIMBIA BILA NOTISI.. Kipi kna unafuu japo vyote ni vibaya..!?
fundichupi umeniacha njia panda na sredi yako