Wanawake leo nawapa ukweli wenu

Wanawake leo nawapa ukweli wenu

bitebo7

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Posts
858
Reaction score
601
Habari wana JF,

Ni hivi wanawake nimewavumilia sana/tumewavumilia sana ila hii tabia yenu yakutaka kukomoana inakera kwakweli
mtu umeitwa pekeyako na mpenzi wako.

Wewe tena unawachukua na best zako alafu hao mabest zako sasa wakifika kazi kuagiza vyakula na vinywaji vya bei ya juu bila hata kuuliza mtu amejipangaje mfukoni mwake, sasahivi mkija wengi mtajilipia wenyewe.
************
Ieleweke kua haijanitokea mimi ila naona jinsi gani vijana wenzangu wanavolalamika kuhusu hilo swala na njia pekee ni kuwakimbia wakati wa bili
.
 
Leta story vizuri ilikuwaje na kama waliagiza kuzidi mfuko wako ilikuwaje ....ama ulidek bar ukaachiwa?
 
naona MASHUZI yanavyokutokaaa kulipa bili...kakuletea ili siku ingine akikwambia nko na rafiki zangu uelewee ....kumbe yuko na....MCHEPUKO
 
Habari wana JF?

Ni hivi wanawake nimewavumilia sana/tumewavumilia sana ila hii tabia yenu yakutaka kukomoana inakela kwa kweli
Mtu umeitwa pekeako na mpenzi wako wewe tena unawachukua na best zako alafu ao mabest zako sasa wakifika kazi kuagiza vyakula na vinywaji vya bei ya juu bila hata kuuliza mtu amejipangaje mfukoni mwake
Sasaivi mkija wengi mtajilipia wenyewe mamaaaaaaaae
************
Ieleweke kua haijanitokea mimi ila naona jinsi gani vijana wenzangu wanavolalamika kuhusu ilo swala na njia pekee ni kuwakimbia wakati wa bili

= inakera

Kula uliwe.

Zinaa ni uchafu.
 
bitebo7

Huyo hatakuwa mpnz wako bali unampigia misele... Mpnz hawezi kuja na watu... Mkuu acha kuogopa investment cost
 
Last edited by a moderator:
Huyo hatakuwa mpnz wako bali unampigia misele... Mpnz hawezi kuja na watu... Mkuu acha kuogopa investment cost

Hii kitu haijakutokea ila ikikutokea utajua nini BITEBO7 alikuwa anamaanisha.....
 
Leta story vizuri ilikuwaje na kama waliagiza kuzidi mfuko wako ilikuwaje ....ama ulidek bar ukaachiwa?

Aijanitokea na naomba isinitokee,maana ntawazalilisha wao badala ya mm kuzalilika
 
Matatizo yakudate na vitoto vya chuo ndo wako hivo. Bora niendelee na majimama yangu tu
 
Huyo hatakuwa mpnz wako bali unampigia misele... Mpnz hawezi kuja na watu... Mkuu acha kuogopa investment cost

Na pia mtu akikupenda hawezi kuja convoy..........na vile vile......kama huna hela usitoe ofa.........
wanaume wengine bana.........
 
Msamiati ndiyo unabadilika lakini suala ni lile lile. Kuchuna buzi zamani wakiita kumgidia bweg.e
 
Hayo ndo matatizo ya kutaka kumlewesha kwanza ndo udai mambo flani,mimi vinywaji na nyama tunalia chumbani wakati tukipasha viungo moto,hayo manungayembe hayanipati ng'o!!!!!
bitebo7
 
Last edited by a moderator:
Ni ushamba kwenda na crew... Nenda na rafiki yako mmoja basi tena kwa kusoma ramani... Ila uswahili shida sana
 
Na pia mtu akikupenda hawezi kuja convoy..........na vile vile......kama huna hela usitoe ofa.........
wanaume wengine bana.........

Yaani nisimpe ofa kwa kufikilia kua atakuja na wenzake?
Umeitwa wewe wenzio wa nini?
 
Hiyo ndio maana ya bata batani..... Akijitokeza ---- wanafanya maandamano.... Shikamoo uswazi... jana nimeshughudia vidume viwili vinakimbia baa baada ya kukutana na vicheche wanaokiuza sheria ya unywaji bia that is 1bottle 9min.... hapo ilikuwa 1bottle 4min.... Walijidai wamepata dharura wakachomoa speed.
 
Back
Top Bottom