Kweli tutaruhusiwa kuoana mimi na yeye?

Kweli tutaruhusiwa kuoana mimi na yeye?

rubylove

Senior Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
127
Reaction score
42
Mimi ni msichana nina miaka 22. Kipindi nasoma kuanzia kidato cha kwanza'1 nilikuwa nakaa na dada angu pamoja na mume wake.Nilipofika kidato cha 2.

Hapo nyumbani alikuja mgeni ambae nae alikuja kusoma ni mwanaume ni mdogo wake na shemeji yangu yaani wanaitana binamu na huyo shem wangu aliomuoa dada agu.

Kadri tulivyokuwa tunakaa tukaanza kupendana bila kujihusisha na ngono na tukaahidiana badae tutaoana.

Mpaka leo bado tunapendana na imepita kama miaka 6 tokea tukiwa kidato cha pili.

Ndugu zangu waligundua siku si nyingi na wakaniambia kwamba hatuwezi kuja kuoana, Ila mimi nampenda huyo mkaka na mimi pia ananipenda.

Niliwahi kumwambia tuachane alilia sana nikamwambia wazazi wamesema hatuwezi kuoana, Akasema kwani sisi ni ndugu?Mimi ndo ntakuoa .

Naombeni ushauri inawezekana kweli kuoana mimi na yeye.
 
Hakuna uhusiano wowote hapo, ruksa kuoana
Wanaosema hivo wanakutaman tu
 
Karibu sana jf. Sidhani kama mna nasaba za kukataza ndoa.
 
kwanza hii mada naona imepotea chumba chake.ndio maana hayina mchango.ila hata hivyo kuna sababu za kifamilia au za ki jadi zitakupinga.Kwanza cabla ya kulalamika.Kaa na wazazi wako uyelewe kwanini wanakataza usiolewe na uo kaka.
 
Back
Top Bottom