Ana mapenzi ya dhati au mbabaishaji?

Ana mapenzi ya dhati au mbabaishaji?

Labda ulikuwa huthamini anayokufanyia, so anataka ukapime na kwingine pengine utatambua. Pengine ana-practice the say 'if you love someone, let them go...blah blah', yeah that one.
 
Labda kweli,lakini nilimthamini kwa kiasi ambacho mimi naona cha kipekee na kuwa mdhati kwake
 
Sijakuelewa mkuu
Application form zinapatikana wapi? kamaanisha anaweza kupata nafasi hapo kwako?? halafu alpokwambia uende kwa mwingine alimaanisha uje kwangu. So wahi dada angu uje upate faraja ya moyo
 
Si keshakulamba? sa una jipya gani kwa mfano! hajapata alichokua anahitaji.
 
Application form zinapatikana wapi? kamaanisha anaweza kupata nafasi hapo kwako?? halafu alpokwambia uende kwa mwingine alimaanisha uje kwangu. So wahi dada angu uje upate faraja ya moyo
Hahaha, touché.
 
Hahahaha yani asante kwa kunifungulia njia nifarijike
 
Kwani wewe ulikuwa ukihitaji nini?

Ukweli. Sikuwa nahitaji mkamilifu kwakuwa mimi pia sipo mkamilifu,ila nikabaini vitu vingi anaongopa,wakati mimi mkweli ikanichosha
 
Habari wakuu,

Kwa muda nina jambo linanitatiza. Baada ya kitambo cha mahusiano na bahati mbaya kuvunjika kutokana na pande zote mbili kushindwana, mwanamme amesema wewe nenda ukipata mwingine mkashindwana njoo utanikuta. Ninajiuliza sana kwa kauli hii.

Mawazo yenu wadau tafadhali
rosebud hiyo mbona ni kesi ndogo, mi ilishatokea mbona. Swala liko hv ukiona mtu anakutamkia kwamba we nenda ukipata mtu kuwa nae ila mi ukirudi utanikuta huyo mtu kuna mambo haya…..
1.hataki alaumiwe kwamba yy ndio kakuacha
2.ana mtu tayari ila amuamini sana so anatoa nafasi kwako ukapate mtu mwingine ili yy aendelee na huyo mtu ili siku wakitibuana apate urahisi wakurudi kwako kusema yy alikuwa anakupenda na ajakuacha
3.anataka lawama zirudi kwako kwamba ww ulimuacha ukaenda kuwa na mtu mwingine

NOTE:
Jiulize hili swali, anaposema uende utamkuta, inamaana ww ukaenda mfano ukaja kwangu tukawa wapenzi zaidi ya miaka miwili yeye atakuwa anakusubiri tu???????

Huyo mwongo pu… mb. Avu zake .yy anasema wa nn sisi tunasema tutakupata lini, njoo mama upate raha na faraja acha stress kwa huyo asiyejua thamani yako.
 
Last edited by a moderator:

Maneno yako yamenigusa sana tukiacha utani wote,shukrani sana mdau. Ntakuja baba,ila kama mtu unaona hauna uhitaji naye tena ni bora kuweka wazi kuliko kumuweka njia panda ajihisi mkosefu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom