Hiki kizazi kinanitia wasi wasi,ipo siku tutalazimishana hata barabarani.
Story yenyewe iko hivi, juzi jumapili nilikuwa maeneo ya Ubungo Maziwa, nikiwa kule mwenyeji wangu baada ya mazungumzo...
Waungwana hii tabia ya kujidai upo busy kupindukia sio nzuri kabisa ktk mapenzi.
Kuna dada mmoja ni mtu wa nyumbani ila yupo hapa Dsm tulikutana kwenye kikao cha watu wa nyumbani tukabadilishana...
Wanaume ambao wanatafuta sababu za kuacha mchepuko lakini wanakosa kisingizio, tafadhali tumia moja au zaidi ya njia hizi. Ukiwa umekunja uso, muangalie mchepuko machoni kisha kwa hasira sema...
Let me first reiterate that I am not encouraging anyone to cheat. I thought about this topic and I enlisted quite a number of people who wished to stay anonymous (for obvious reasons) to give...
Kati yao nani ni bingwa wa kumweka kiporo mwanamke au mwanaume? ''Maana ya kiporo'' yaani ni kuwa na wapenzi wawili alafu unawapima wote wawili yupi anafaa.
Alafu wote hawajuani unajiuliza sasa...
Huyu rafiki yangu wa kike anapitia wakati mgumu, ameolewa na mtu mzima wa kama 60yrs na yeye ana 37 yrs, ana watoto ambao alizaa na mume wake wa kwanza, na huyo mume hawahudumii, kwa kifupi ada za...
Wadau,
Nimesukumiwa kesi na rafiki yangu wa karibu nikashindwa kuitolea suluhisho ndipo nimeamua niiweke humu jamvini tupeane mawazo. Alinitaarifu kuwa nyumbani kwake moto unawaka ana muda wa...
Salam wana jukwaa,
Siku chache zilizopita nilileta uzi hapa niliotaka ushauri kuhusu msichana wangu kunipotezea kiaina huku mi nikimuhitaji kupita kiasi. Ila kunajambo sikulisema kuwa pia ana...
Habari za muda huu wana JF,
Asanteni kwa mawazo na ushauri wenu mlionipa. Jamaa alinicheki ingawa sijapata muda wa kuongea nae vizuri ila naamini mambo yataenda vizuri.
Asanteni sana
Inasemekana kuna correlation kati ya size ya mdomo wa msichana na papuchi yake,yani kama msichana ana mdomo mdogo basi hata mambo yake itakuwa ndogo.
Akiwa na mdomo mkubwa (mpana) bas hata mambo...
Ndoa ni safari ndefu ambayo inahitaji uvumilivu wa kila namna ili kuhakikisha kila mwanandoa anaifurahia safari hiyo. Leo hii ndoa nyingi zimejaa majuto kutokana na wahusika kukosa uvumilivu...
Mi huwa nawashangaa sana wanawake/ wasichana, mara sijui huwa wanatuchukuliaje. Kwasababu, utakuta unazungumza na dada mnayeheshimiana sana lakini ukitaka heshima ipungue basi mwambie naomba...
Salaam,
Juzi usiku sikulala ni kama nilikesha nambembeleza wife anisamehe kutoka na kusoma sms za malove toka kwa mpango wangu wa kando. Alillia ghafla akanyamaza akaniuliza nakoswa nini kwake...
Hii inaweza kuwa si habari nzuri kwa baadhi ya watu au jamaa na rafiki lakini ukweli ndio huo, Hii kitu imenitokea mimi binafsi bila kujielewa na chanzo chake ni kuwa nilikutana na mwanachuo...
Habarini wana Jf,
Kuna sehemu nimeenda kwa mara ya kwanza kusalimia, sasa niliwahi kukutana na msichana flani hivi mzuri siku ya kwanza kukutana nae nilimsalimia akaitikia salamu yangu huku kama...
Habari za wakati huu wana JF,
Mpaka naandika huu uzi nishawaacha waisichana wawili wa familia ya kitajiri, huyu wa tatu ndio king'ang'anizi hao wawili tulikutana advance wote wakiwa shule moja...